Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Hivi mwamvita sasa hivi kaolewa na nani au bado yupo na Yule mzungu wake...
penda sana mwanya wake!
hana ndoa ila he is dating that designer now.........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mwamvita sasa hivi kaolewa na nani au bado yupo na Yule mzungu wake...
penda sana mwanya wake!
ernest and young kuna patner mdada.. ana hela za kutosha tu na yupo successful kwenye career yake.. wapo kibao mjini hapa
hana ndoa ila he is dating that designer now.........
Mwamvita anafanya kazi gan henu fafanua...
Mimi naona halima mdee
Duu hadi wavuta bangi mnawataja? Uzi ushakosa maana sasa
ID yako umeitendea hakiDuu hadi wavuta bangi mnawataja? Uzi ushakosa maana sasa
hapo ni mwamvita tu hao wengine hawana asset yoyote inayoonekana
JINA: Dida
Kazi: Mtangazaji /Mjaasiriamali
Raasilimali alizonazo : Nyumba 2 za Ghorofa na Magari kama sita hivi vinavyoonekana , Visivyoonekana nadhani ni vingi pia
Senior internal auditor!!? KuanIa lini!? Huyu si public relations officer!!Senior internal auditor wa Tanesco ni mdada.
Badra masoud pia wa Tanesco ni kati ya wanawake waliofanikiwa kupenya ktk system wakiwa na umri mdogo
Duu hadi wavuta bangi mnawataja? Uzi ushakosa maana sasa
Senior internal auditor!!? KuanIa lini!? Huyu si public relations officer!!
Senior internal auditor wa Tanesco ni mdada.
Badra masoud pia wa Tanesco ni kati ya wanawake waliofanikiwa kupenya ktk system wakiwa na umri mdogo