Hivi Jaydee ana miaka mingapi kwani?
Lady Jaydee ni namba moja hakuna mjadala
Haya mambo mi naonaga uvivu kuchangia kuna wanawake wana hela balaaa lakini kwasababu hawapo kwenye limelight humu hutawasikia tutaishia kuwasikia wanawake wasiokauka kwenye media tuuu
Wadauz;
Leo hebu tuwajadili wanawake waliofanikiwa kwa kila proffesional anayoifanya wa Kitanzania kuanzia biashara, kwenye taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali, makampuni, sanaa na michezo pamoja na ujasiliamali.
Na naomba ukiwa unataja mtu taja na aidha kazi yake then utuambie kwa nini unahisi she is successful, kipi kilichokuvutia kwake? kipi ulichokiona kwake ukasema yes she is successful.
Mfano mie binafsi namtaja Mwamvita Makamba, kwa position yake aliyoifikia, kwa Assets alizonazo ni kwamba ameweza ku-achieve everything ambacho mtu yeyote anataka awe nacho;
- Money
- Power
- Respect
Twendee....
hewaaaaaaaaaaaaaaaa
haa haa amepewa likizo na mafisadi ya escrow ili yasiumbuliwe pale bungeni.
Haya mambo mi naonaga uvivu kuchangia kuna wanawake wana hela balaaa lakini kwasababu hawapo kwenye limelight humu hutawasikia tutaishia kuwasikia wanawake wasiokauka kwenye media tuuu
Haika lawere
Unazijua zili nyumba zilizopo nyuma ya oilcom inayotazamana na TMJ....sasa zilenyumba pale ni kuanzia dolla laki4 mpaka laki Sita inategemea umechukua ya u kubwa gani sasa yeye anayo pale na kupangisha pale si chini ya dolla elf 4 .i hope umenielewa
Jaman mmemsahau na yule aliyezaliwa vipacha viwili na Bilionea Babu Mengi anayekwenda kwa jina la Jack ntuyabaliwe...