Tanzanian most successful women under 40

Tanzanian most successful women under 40

Wanawake wengi mafanikio yao ni kutokana na kuhongwa na si vinginevyo...

Labda vick kamata lol
 
Haya mambo mi naonaga uvivu kuchangia kuna wanawake wana hela balaaa lakini kwasababu hawapo kwenye limelight humu hutawasikia tutaishia kuwasikia wanawake wasiokauka kwenye media tuuu

Wengi wao wanahela za biashara ya unga au kuhongwa ndo maana jamii haiwaoni kama watafutaji
 
Wadauz;

Leo hebu tuwajadili wanawake waliofanikiwa kwa kila proffesional anayoifanya wa Kitanzania kuanzia biashara, kwenye taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali, makampuni, sanaa na michezo pamoja na ujasiliamali.

Na naomba ukiwa unataja mtu taja na aidha kazi yake then utuambie kwa nini unahisi she is successful, kipi kilichokuvutia kwake? kipi ulichokiona kwake ukasema yes she is successful.

Mfano mie binafsi namtaja Mwamvita Makamba, kwa position yake aliyoifikia, kwa Assets alizonazo ni kwamba ameweza ku-achieve everything ambacho mtu yeyote anataka awe nacho;

- Money
- Power
- Respect

Twendee....

Hata Mama #Rugemalila atakuwa pazuri tu. Sema ndo ile """hawavumi lakini wamo!""""
 
Jaman mmemsahau na yule aliyezaliwa vipacha viwili na Bilionea Babu Mengi anayekwenda kwa jina la Jack ntuyabaliwe...
 
Unazijua zili nyumba zilizopo nyuma ya oilcom inayotazamana na TMJ....sasa zilenyumba pale ni kuanzia dolla laki4 mpaka laki Sita inategemea umechukua ya u kubwa gani sasa yeye anayo pale na kupangisha pale si chini ya dolla elf 4 .i hope umenielewa

ana nyumba dubai pia
 
Back
Top Bottom