mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,136
- 4,271
Nadhani wewe umeanza kulisoma leo gazeti hilo. Hata kama kinachoongelewa kina ukweli ndani. Soma zaidi hilo gazeti ndani yake. Utakuta kuna chembechembe zenye lengo la kuichafua Tanzania. Issue siyo contents bali ni context ya gazeti. Soma vizuri na ufuatilie gazeti lenyewe.