Tanzanian Muslims strip to protest detention without trial

Watz siku hizi akili zenu zimegeuka zikawa kinyumbunyumbu vile. Yaani mnasoma habari kisha mnanza kulialia kuhusu gazeti za Kenya. Hakuna anayebisha kuhusu uhalisia wa habari yenyewe. Hakuna anayesema kuna dhuluma inaendelea au hamna. Mnaruka na kuanza kutuonyesha sijui Kenya inavodhulumu waislamu. Hapo nabaki nikijiuliza WTF? Kuna shida mahali.
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana hivi maajuzi wamemfungia mwanadada flani kupost chochote kwenye Instagram yake ati kwa kuwa alipost picha za utupu

Si bora huyo, je yule ninyi mliyemvua nguo ndo mnaona mlimtendea haki?
 
Si bora huyo, je yule ninyi mliyemvua nguo ndo mnaona mlimtendea haki?

Kuna tofauti kubwa sana baina ya mob justice barabarani na sera ya serikali, kwa kifupi serikali haiwezi kubadilika na kuwa kama wavaa milegezo wa mtaani na kubuni sera kiholela.
PR spinners wa Bongo huwa mnatia huruma, sio kila kitu kinaendana.
 
Hujajibu swali, mlimtendea haki?
 
Jamaa amekupa jubu hapa chini

[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Mkuu, umesema ukweli mtupu, sio kumaliza mashehe tuu, GoK inamaliza hata uchumi wa pwani.
 
Kuna tofauti kubwa sana baina ya mob justice barabarani na sera ya serikali, kwa kifupi serikali haiwezi kubadilika na kuwa kama wavaa milegezo wa mtaani na kubuni sera kiholela.
PR spinners wa Bongo huwa mnatia huruma, sio kila kitu kinaendana.

Kuna kile kikosi Kenya kazi yake ni kula sahani moja Waislamu. Walikuwa wana vaa nguo nyeusi tuu na kutumia magari ya kiraia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…