Tanzanian President John Magufuli expected in the country Monday

Waambie ukweli hawa mazombie Nyangau hataki ujinga mse!!

Tunanunua maize bags 90kgs toka TZ at 700/- wholesale price kwa uwingi alafu tuna kuja tuna saga tunaiuzia UN WFP ETC ilo ziende somalia sudan eritrea etc pia tuna deploy uko ku prolong war ....ilobiashara izidi



Mtaisoma number
 
 
Apa EAC kuna nchi inayoweza kutengeneza budget kwa kutumia vyanzo vya ndani tu bila kutegemea misaada nchi zingne?????
Tz tunauwezo wa kujitegemea kwa sio zaidi ya 60% vipi kuhusu apo Kenya ???
Kenya toka 2011 hatujapata msaada
 
IMHO I don't think this is a right time for JPM to visit Kenya! Especially looking at the attitude demonstrated by Uhuru after losing a regional pipeline deal n recently on EPA! I wonder who advices JPM? That corrupt Uhuru will try to use the visit to garner more support towards the 2017 election!
 
Kenya toka 2011 hatujapata msaada
Wewe inaonekana uwezo wako ni mdogo sana. Ila umepata bahati ya kujua kutumia mtandao basi.

Hayo mambo nenda kawadanganye kijijini kwenu sio hapa kwa watu wenye uwezo mkubwa wa kudadavua mambo.

Unajiaibisha sana na kuwavua nguo wakenya wote waonekane kichwani empty kama wewe.

Hivi misaada ya msosi mnayopata kutoka mashirika ya misaada duniani huo sio msaada.
Kwikwikwikwi.
 

endelea kujidanganya, Magu anafahamika dunua zima kwa mambo makubwa anayoyafanya, ww hata ukibeza haiathiri chochote. hao unaoita wanalalamika ni wale wanaoendekeza siasa, ila ukweli unajulikana dunia yote. najua kwanini unambeza Magu.
 
Kenya ni lower income middle country lazima wasaidiwe tu. ....upper middle income wenyewe wanasaidiwa itakua ninyi ambao still mnarundo la watu masikini na majanga ya njaa ??
 
Daah umepiga ikulu mkuu.
 
Tunakusanya tshstrillion 15 kwa mwaka kama sikosei katika taarifa za tra na budget ilikua 29trillion au kuna vyanzo mbadala??

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mkuu hiyo 29trillion inajumuisha pesa za mikopo toka vyanzo vingine ambazo huwezi jumlisha kwenye makusanyo ya ndani.
 
Akija muulizeni vipi kule kwenye tetemeko amefika kuwaona wahanga wa lile tukio?
 
Hahaha sasa wewe wajua right time? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…