Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

lemutuz anajisifia alivyongea na watu wa IT rwanda na kuhack instagram ya mange. na pia makonda kaenda usa kwa shuguli maalum.......huyu kubwa jingi jana hiyo hiyo akawa anatamba anaenda SA kupata ujuzi zaidi ya kumnasa mange. lemutuz growup
 
lemutuz anajisifia alivyongea na watu wa IT rwanda na kuhack instagram ya mange. na pia makonda kaenda usa kwa shuguli maalum.......huyu kubwa jingi jana hiyo hiyo akawa anatamba anaenda SA kupata ujuzi zaidi ya kumnasa mange. lemutuz growup
Mmmmmh naaanza kupata ukakasi hilo LA makonda kwenda Kwa shughuli maalumu lina mashaka na uelewa wa makonda pia kwani naelewa watu wa shughuli maalumu hata huwezi kujua
 
Pole sana hata misemo hauijui vizuri. Mwaka huu mchungu kwa role model wako,just wait and watch.
Hata wahenga walisema polepole sio mwendo na chelewa chelewa utakuta mwana si wako.
 
Huyu dada ananishangazaga sana wadau yaani mimi huwa simuelewi,utamkuta masaa 24 kazi yake ni kushinda kwenye mitandao ya kijamii ,mda wote yupo insta na wasap alafu naambiwa ni mke wa mtu khaaa..hata mimi naamini huyu mzungu alikuwa mvumilivu kweli kweli.
wakuu huyu dada kipindi cha kampeni kama mlikuwa mnafuatilia post zake instagram ni mitandao mingine ya kijamii kwenye account zake alikuwa mstari wa mbele kuishabikia ccm na huyuhuyu ndio aliyemsema lowassa kajinyea wala si mwingine,,lakini cha kushangaza juzi kati hapa...amekigeuka chama chake gafla na kuugeukia upinzani,,,sikuizi anajifanya kupinga chama chake ,now amefikia kumponda hadi magufuli aliyekuwa akimsifia kuwa ni dikteta na juzii nilimnukuu akisema kuwa wabunge wa ccm ni majipu......vilevile wakuu huyu dada namfananisha na mwanajeshi mwoga anayejifanya kupigania haki za nchi yake wakati yeye kajificha kwenye nchi ya adui
Huwezi pigania haki za nchi yako wakati unajijua umejificha kwenye nchi za watu
Huyu dada nna wasiwasi nae atakuwa anakula bangi au hana akili timamu
Ndo kesha uwawa hivyo 🤮 na wote ni mavumbi sasa
 
Back
Top Bottom