Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #221
Mgagani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tamu sana hii unaweza tafuna vidole
Huuni ugonjwaSupu ya pweza (octupus stew)View attachment 2635512View attachment 2635513View attachment 2635519View attachment 2635521
Lazima utapike Kwa mchanganyo huu
Kiporo cha hii kitu ni balaa hasa mida ya alfajiri kabla ya kudamkia kibaruani.
Kwanini au kwa kuwa vitumbua vina mafuta mengi pamoja na nyama inaweza kupelekea kichefuchefu?Lazima utapike Kwa mchanganyo huu
[emoji23] usipotoshe bwana, pweza ana faida nyingi mwilini kiafya.Huuni ugonjwa
Bora mkate aiseeKwanini au kwa kuwa vitumbua vina mafuta mengi pamoja na nyama inaweza kupelekea kichefuchefu?
Hamjui kupika[emoji23] usipotoshe bwana, pweza ana faida nyingi mwilini kiafya.
Bila shaka we ni mpenzi wa chai na mkate na siyo supu au maharage na vitafunwa.Bora mkate aisee
Leta picha utu-prove sivyo.Hamjui kupika