Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #241
Haipingwi[emoji3590] chapati maharage ni nomaChapati Kwa Maharage, hiyo kitu ni Class Kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haipingwi[emoji3590] chapati maharage ni nomaChapati Kwa Maharage, hiyo kitu ni Class Kabisa
Ukileta Sasa na maharage Sasa na Ile mboga au nyama safiBila shaka we ni mpenzi wa chai na mkate na siyo supu au maharage na vitafunwa.View attachment 2652482View attachment 2652483View attachment 2652484View attachment 2652485View attachment 2652486View attachment 2652487View attachment 2652488View attachment 2652489View attachment 2652491View attachment 2652493View attachment 2652495View attachment 2652497
Ni kweli siyo vyakula vyote vimeoneshwa hapa tiyari au navifahamu vyakula vyote Tanzania, ndiyo maana mchango wako ni muhimu pia.Sijaona Nyapula hapo.Chakula cha asili huko Njombe Kwenye kabila la Wapangwa na Wabena.
Eti kutishana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Huku ni kutishana sasa! Ugali unaakuwaje mkubwa kiasi hicho?