Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #281
Loading capacity..[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio chopeko kweli 😀Wahenga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2645775
[emoji23] ndiye, siku hizi alishaachaga mambo hayo umri umemtupa mkono[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125]Sio chopeko kweli [emoji3]
😂😂[emoji23] ndiye, siku hizi alishaachaga mambo hayo umri umemtupa mkono[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125]
Yaani ule panya uhitaji lugha ya staha? MaajabuJaribu kuwa na lugha yenye staha na ukubali kujifunza usichokijua, Pili heshimu tamaduni na vyakula vya jamii zingine za kitanzania hata kama ukubaliani nazo. View attachment 2656065View attachment 2656066View attachment 2656067View attachment 2656068View attachment 2656069View attachment 2656070View attachment 2656071
Yaani ule panya uhitaji lugha ya staha? Maajabu
Hao wadudu ni kuishi nao tu km Mbwa na paka sio kumla.
Unakula Panya kwa njaa gani?
Kuna nyama kibao,kuku,samaki mabuchani unakulaje Panya?
Ni Ulafi tu.
Eti traditional gani?
Nyama pori zipo zinauzwa,Swala,tandala ,tembo,Nyati.
Unaenda kula PANYA.
Wewe ni mlafi tu hakuna blaah blaah, ukifika hatua ya kula panya au mbwa kwenye nchi ina kila aina ya vitoweo we ni mgagagigikoko hata binadamu utakula.Acha kuishi kwenye dunia ya mawazo yako mwenyewe, hakuna chakula kibaya duniani ila mtizamo, imani,urithi na mazoea ya jamii (aliyokulia mtu) umfanya mlaji abague vyakula vya aina fulani kwa kile anachoamini kula vyakula hivyo si sahihi hata kama haviwezi kumdhuru kiafya.
Mtu aliyeelimika utambua kuwa nje ya mipaka ya mazingira yake au jamii aliyoizoea, kuna watu wanaishi maisha tofauti, wakiamini, kula na kutenda tofauti na vile alivyozoea na bado wako sahihi vilevile.
Unachopaswa kufanya ni kuheshimu na kuzibariki hizo tofauti kwani ndizo uleta mizania katika ugawanaji rasilimali chakula katika dunia.
Mathalani, wewe ni mkazi wa kanda ya ziwa umekulia huko na kulelewa huko ukila nyama za wanyamapori, samaki, dagaa,n.k bila shaka siku ukifika pwani ukawashuhudia pweza,chaza,kasa au ngisi wabichi wakiuzwa sokoni na baadae ukashuhudia mtu akiwala siyo tu kushangaa utatapika(sababu ya mtizamo na mazoea)
Hili halina tofauti na panya ambao ni chakula maarufu, kitamu na chenye walaji wengi mikoa ya kusini kusema siyo chakula nikuwakosea heshima watu wengine kwa sababu ya ujinga wako wa kushindwa kutofautisha kipi ni sahihi katika mazingira yapi.
Uzi huu ni mahususi kwa ajili ya kujivunia utajiri wa tofauti zetu hizo katika ulaji na vyakula vyetu vya asili, hivyo basi tushirikiane katika kutangaza na kuenzi tamaduni za jamii nzima ya watanzania.
[emoji38] Vipi kuhusiana na huyu mwamba[emoji116][emoji116][emoji116]je, unadhani jamii yake pia haina vitoweo vingine? utamu wa ngoma ingia ucheze na utamu wa chakula anajua mlaji[emoji125][emoji125][emoji1787]Wewe ni mlafi tu hakuna blaah blaah, ukifika hatua ya kula panya au mbwa kwenye nchi ina kila aina ya vitoweo we ni mgagagigikoko hata binadamu utakula.
Utamaduni, utamaduni Nanyokwe