Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Kitumbua ukigonga mixer na maharage, basi we siku nzima nikunywa maji tu kama nyoka..😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitumbua ukigonga mixer na maharage, basi we siku nzima nikunywa maji tu kama nyoka..😂
Mkuu, hii meza ukiisogelea hakuna siku utaaikia kupungukiwa nguvu za kiume...😝Ngoma hiyo hapo kwenye kibakuli..kionjo pendwa cha mamura kule kanda maalumu [emoji23]View attachment 2635492
Kwa mlo huu, kumbe nihaki kabisa kuikata faru joni mani aloni...😋Ndizi kaanga na nyama chomaView attachment 2635480View attachment 2635481
Nimeuona jamaa ametupia na kichuri inaonekana ina apilo ya kutosa....🤣Ugali wetu mweusi wa utegi sijauona. Nakata rufaa.
Barikiwa sana mkuu, kumbe ndiomaana hua narudi nyumbani kesho.....🙄
Huo mzigo nyokow 🤣 kanda maalum ya kipolisi.Ngoma hiyo hapo kwenye kibakuli..kionjo pendwa cha mamura kule kanda maalumu [emoji23]View attachment 2635492
Chakula hiki kinapikwa kwa kutumia nini na ni chakula cha tamaduni ipi hapa Tanzania?Kishumba [emoji1787]View attachment 2635531
Hio ni keki ya maharage na ndizi 🤣 inaliwa na jamii ya wapare 😀Chakula hiki kinapikwa kwa kutumia nini na ni chakula cha tamaduni ipi hapa Tanzania?
KiumboKishumba 🤣View attachment 2635531
Eti nyama choma, sema " kitimoto", mbona unaionea aibu mboga aiseeNdizi kaanga na nyama chomaView attachment 2635480View attachment 2635481
Asante, leo ndipo nimeiona kumbe kuna vyakula vingi mno hatuvifahamu.Hio ni keki ya maharage na ndizi [emoji1787] inaliwa na jamii ya wapare [emoji3]