Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #1,541
[emoji23][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzuri sanaa hii, lakini ulitakiwa uweke na maelezo kidogo kwa faida ya wengi tafadhali.
Piranha,kuna siku walitafuna watu beach wanakula mbususu na pumbu.ni wakali acha tuu ni kitoweo kizuri ila ukijichanganya kwao unakuwa kitoweo
hio movie ilinifanya niogope kuogelea sehemu nisizozijua vizuri paka leo nliona kichwa cha dushe kikielea kwenye maji haahaaPiranha,kuna siku walitafuna watu beach wanakula mbususu na pumbu.
Beach party ikageuka dimbwi la damu.
Wapo amazon sea,sasa wale watalii sijui walikua wapi wakavagamuana nao
Walitafunwa mpk walikoma.