Tanzanian traditional local foods

Tanzanian traditional local foods

Hata mimi sijaelewa bibie hapa kaandaa pishi linaloitwaje kwaajili ya mumewe[emoji848]anayejua atuambie tafadhali[emoji23][emoji125][emoji125]
FB_IMG_17131710015277588.jpg
FB_IMG_17131710072338216.jpg
 
CHIKANDE/KIKANDE

Mahitaji:
1.Kikande kinachimbwa porini ..vipo kama viazi
mviringo
2. uwe na chumvi
3. Maji
4. Magadi ni majivu ambayo hutokana na majani ya alizert au maharage ambapo lile vumbi linatumika kama magadi

Hatua za kutengeneza Chikande:

1.baada ya kusaga kikandi weka kwenye Maji yaliyochanganywa na chumvi pamoja na magadi au manjetu

2.Koroga pamoja

3.Weka jikoni huku endelea kuchemsha Kwa dk takribani hadi 45 hiv hadi kiive

4.Jitahidi kukadiria kiwango Cha magadi maana ukizidisha kutakuwa kichungu kadri utakavyo kuwa ukichemsha Maji yataendelea kupungua kitakuwa kikiongezeka uzito kikandi chako.

5.Hapo sasa chuma Jani la mgomba lisilokomaa sana nyeusha kwenye moto na ufunike juu ya kikandi ukiwa umepunguza moto jikoni.
FB_IMG_17137272250284589.jpg
FB_IMG_17137273311185504.jpg
 
Back
Top Bottom