Tanzanians don't travel, sijui ni kukosa pesa ama kuna la zaidi!

Na kuna watu kama mimi nilishajiapiza ni marufuku kupitia Nairobi kwa safari yangu ya nje, sipapendi kabisa Nairobi, ni wezi na hawana customer care, kuna siku nimepanda, kidogo niache na ndege ya kuunganisha bongo after coming from Schipol, then kuna siku nimepanda ndege kuja dar from Nairobi kulikuwa na inzi, li abiria lilikuwa linachati na simu as if vifo havituhusu. Pia wizi wa mizigo ukipita Nairobi ni nje nje
 
Kuna Direct flight ya Ethiopian Airways inatua JNIA kila siku.

Sasa ya nini upande ya Jomo Kenyatta wakati ipo ya kuja nyumbani direct?

Kusafiri sio kurudi nyumbani pekee.
Kuna kutembea nchi za nje.
 
Wacha ujinga mmeanza conspiracy! Why should a Tanzanian fly to Dar, Kilimanjaro/Arusha or Zanzibar from Addis Ababa via Nairobi while there are daily direct flights to those destinations from Addis Ababa using dreamliner?

Does that mean Tanzanians only travel 'to Tanzania'. They don't travel to other countries?

Ni kama kuuliza, why should a Canadian travel to Canada from Addis via Nairobi?
Are you assuming the Canadian was travelling back home and not Nairobi?
 
Haha! πŸ˜€ Jiwe mwenyewe ni anti-social kupindukia. Sasa ulitegemea nini? Hapo kuna hadi wakenya ambao walikuwa wanatoka DRC.
 

Out of 8 million passengers, kuna kidogo wata nung'unika.
 
Does that mean Tanzanians only travel 'to Tanzania'. They don't travel to other countries?

Ni kama kuuliza, why should a Canadian travel to Canada from Addis via Nairobi?
Are you assuming the Canadian was travelling back home and not Nairobi?
Canadians travel to Nairobi via Addis as there is no other less time consuming flight that connects Canada to Kenya aside Ethiopian airlines that goes there! U will be so stupid to think a Tanzanian traveller will choose flying from say Toronto in Canada to Addis then Nairobi before to Dar/Kilimanjaro/Zanzibar. While he can reach home from Addis straight! Sorry to ur Baba aliuza ng'ombe kupeleka ng'Ombe nyingine shule!

 

Tanzanians don't travel.
That's why you only conclude that a Tanzanian flying from Addis to Nairobi can only be making a connecting flight.
I'm pretty sure a good number of those on board had Nairobi as their final destination.
And they were not necessarily arriving from their home countries.
 
wiki ilopita kulikuwa ni habari ya msiba wa ruge kisha kibonde, ilikuwa kila kona ninhabari ya msiba ikawa very stressful period, mungu katuepusha hili tushukuru na kuwaombea wengine waliopatwa na msiba mungu awatulize katika kipindi hiki kigumu, pole sana kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania mnapenda sifa za kijinga yani mlitaka na-sisi tuwepo kwenye list
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…