Tanzanians don't travel, sijui ni kukosa pesa ama kuna la zaidi!

Tanzanians don't travel, sijui ni kukosa pesa ama kuna la zaidi!

Ethiopian Airlknes wana direct flight to Julius Nyerere Airport Dar es Salaam then why should I bother kwenda Nairobi then ntafute ndege ya kuja Tz?
Imagine direct flight ya Ethippia kuja Tanzania unahis utakutana na wakenya wanaoenda Nairobi kwel? Stop these Nonsense
Yani ndio u fly lazima unaenda nyumbani..so ethiopia to tz ni watz pekee?
 
We sijui nikuite mpumbavu au mjinga auu...

Kwa sababu hatukufa kwenye hiyo ndege basi hatusafiri?

Hicho ni kipimo gani?

Hakika ni cha kishetani mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ethiopia ndiyo hub ya Ethiopian Airways kwa ndege zao ambazo zinatoka kokote duniani. Baada ya HAPO zinaenda direct to destination.
Sasa kwa waTanzania si rahisi kupanda katika ndege hii kwa maana kuna NDEGE ya kuunganisha inayotoka moja kwa moja Adis to Dar.
 
Sio wafe ila hakukua na mbongo Ata mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dada Mtanzania alitaka kupanda hiyo ndege akacancel
IMG_20190311_225327_225.jpg
 
My condolences to the families who lost loved ones in that fateful flight.

The destination of that flight was Nairobi, not Dar es Salaam. All on board were going to Kenya, therefore it is natural to find many Kenyans in that flight. There is are direct flights from Addis Ababa to Dar es Salaam, Kilimanjaro and Zanzibar in which you are likely meet Tanzanian travellers.
 
So tzs dont do biz

Kubali tu kuwa una mapungufu ya akili, yaani wewe ni Mlemavu wa akili.
Umeshaambiwa pale bole sio destination ya wasafiri walio wengi, but only a hub, hao abiria wengi walikuwa wametoka canada wanakuja Kenya, na Hao wakenya waliofariki hawajuwa wanatokea Ethiopia, pale walikuwa wanaunganisha flights
Siamini kama kuna raia wengi wa Africa mashariki husafiri kwenda Ethiopia kufanya Biashara,
 
Huyo Mnaija yawezekana anatoka Nigeria kwenda Kenya. Sasa Mtanzania anayetaka kutoka hapa kwenda Kenya anatakiwa aende Ethiopia?
wanajiita lango la biashara la afrika mashariki, wanataka watu wote waanzie safari nairobi, wataisoma namba
 
Kubali tu kuwa una mapungufu ya akili, yaani wewe ni Mlemavu wa akili.
Umeshaambiwa pale bole sio destination ya wasafiri walio wengi, but only a hub, hao abiria wengi walikuwa wametoka canada wanakuja Kenya, na Hao wakenya waliofariki hawajuwa wanatokea Ethiopia, pale walikuwa wanaunganisha flights
Siamini kama kuna raia wengi wa Africa mashariki husafiri kwenda Ethiopia kufanya Biashara,
Outside Addis being a city that hosts AU headquarters n UNECA there is nothing in Addis as far as business is concerned!
 
Back
Top Bottom