Tanzanians don't travel, sijui ni kukosa pesa ama kuna la zaidi!

Tanzanians don't travel, sijui ni kukosa pesa ama kuna la zaidi!

Moja kati ya nyuzi za hovyo zaidi kwa mwaka huu

"Hukue"
"Ukufe"
Ndio nini sasa

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Sio lazima watz wawemo, inawezekana huo uraia unaona hapo wamo wenye passport za nchi nyingine lakini ukakuta wana asili ya Africa
Sweden,USA, UK, na wengine unaweza kuta sio weupe bali wasomali au wahabeshi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
U r really stupid I didn't know u hav this shallow thinking! So u want a Tanzanian going to Addis to pass at Nairobi or a guy flying to any of the three destinations in Tanzania to go through Nairobi first! No wonder ET is transporting more Tanzanians plus tourists to Tanzania with this narrow mind that ommit a factor "convinient"!
What of Ugandans and rwandese dont they have direct flights to their respective cities wacha ushenzi my friend
 
Hii ajali inaweza kujibu Swali la Ajali ya Pentagon Marekani,yaani mabaki ya ndege kubwa Vile ni vipande vya Bati kama mbili hivi.
Hii ndege ilStall na rubani akashusha Pua iliarudishe lift ikaja mazima. kwa Sababu labda Altitude ilikuwa chini. Ndio Ukisikia mashahidi wakisema Ndege ilikuwa inapaa kielekea Ardhini.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Na kuna watu kama mimi nilishajiapiza ni marufuku kupitia Nairobi kwa safari yangu ya nje, sipapendi kabisa Nairobi, ni wezi na hawana customer care, kuna siku nimepanda, kidogo niache na ndege ya kuunganisha bongo after coming from Schipol, then kuna siku nimepanda ndege kuja dar from Nairobi kulikuwa na inzi, li abiria lilikuwa linachati na simu as if vifo havituhusu. Pia wizi wa mizigo ukipita Nairobi ni nje nje
Walinilamba begi la laptop wakifikiri laptop imo wakaondoka na begi tupu Nyangauz.
 
Ethiopian Airlknes wana direct flight to Julius Nyerere Airport Dar es Salaam then why should I bother kwenda Nairobi then ntafute ndege ya kuja Tz?
Imagine direct flight ya Ethippia kuja Tanzania unahis utakutana na wakenya wanaoenda Nairobi kwel? Stop these Nonsense
 
Back
Top Bottom