Yani ndio u fly lazima unaenda nyumbani..so ethiopia to tz ni watz pekee?Ethiopian Airlknes wana direct flight to Julius Nyerere Airport Dar es Salaam then why should I bother kwenda Nairobi then ntafute ndege ya kuja Tz?
Imagine direct flight ya Ethippia kuja Tanzania unahis utakutana na wakenya wanaoenda Nairobi kwel? Stop these Nonsense
Wewe unatembea? Nasikia watanzania wengi tu wanaitumia hiyo, ni bahati tu hawakuwepoHapa Kuna hadi Togo, Somalia, Uganda, Nigeria, Rwanda.. Yani kwa majirani wetu wote Tanzania pekee ndio hawapo... Nimeelewa kwa nini ATCL hubeba abiria wawili kutoka dar hadi Kampala.. Na abiria Hawa hukua Wananchi wa UgandaView attachment 1042850View attachment 1042851View attachment 1042852
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Kuna hadi Togo, Somalia, Uganda, Nigeria, Rwanda.. Yani kwa majirani wetu wote Tanzania pekee ndio hawapo... Nimeelewa kwa nini ATCL hubeba abiria wawili kutoka dar hadi Kampala.. Na abiria Hawa hukua Wananchi wa UgandaView attachment 1042850View attachment 1042851View attachment 1042852
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww jinga kweli.Kuna mnigeria, mtogo, mjerumani etc so wamaanisha hakuna ndege ya Addis-Lagos??? Kuna hadi Mozambique Kuna mmoja na Kuna direct flights to maputo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona anaonekana anajishaua tu? She changed the route to Addis while the plane was flying out of Addis!Huyu dada Mtanzania alitaka kupanda hiyo ndege akacancel
View attachment 1043432
Plan yake ilikuwa kwenda Nairobi. Akabakia AddisMbona anaonekana anajishaua tu? She changed the route to Addis while the plane was flying out of Addis!
So tzs dont do biz
wanajiita lango la biashara la afrika mashariki, wanataka watu wote waanzie safari nairobi, wataisoma nambaHuyo Mnaija yawezekana anatoka Nigeria kwenda Kenya. Sasa Mtanzania anayetaka kutoka hapa kwenda Kenya anatakiwa aende Ethiopia?
Outside Addis being a city that hosts AU headquarters n UNECA there is nothing in Addis as far as business is concerned!Kubali tu kuwa una mapungufu ya akili, yaani wewe ni Mlemavu wa akili.
Umeshaambiwa pale bole sio destination ya wasafiri walio wengi, but only a hub, hao abiria wengi walikuwa wametoka canada wanakuja Kenya, na Hao wakenya waliofariki hawajuwa wanatokea Ethiopia, pale walikuwa wanaunganisha flights
Siamini kama kuna raia wengi wa Africa mashariki husafiri kwenda Ethiopia kufanya Biashara,
Wanaona wivu sanaa walitamani wawepoo sisi wajanjaUlitaka Watanzania wafe ili ufurahi sio??