MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
unaruhusiwa kuendelea kujipa faraja.
[emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23]
![]()
![]()
Bro kadoda11 nini kilikutendekea maana naona siku hizi umeishia kurusha rusha kauli za watu kwenye twitter, mbona umepunguza uwezo wako wa kujadili hoja kiasi hiki. Huko Twitter ni mtandao wa Kijamii kama huu wa JF, wale ni watu kama sisi na kauli zao binafsi haziwezi kuwa kama kielelezo chochote humu.
Bora upambane kama ndugu zako wengine humu ambao hata tukibishana, ila unaona wanatumia akili zao wenyewe. Kama vipi ikiwa lazima ulete source za nje, basi tuletee taarifa za kwenye magazeti au za taasisi fulani fulani ambazo zimefanyiwa utafiti. Lakini kuleta kauli sijui za eti bwana 'Kennedy bin Mahangaiko' kaandika kwenye Twitter, hivyo tuziamini na kuziheshimu, wadau wanaishia kuzipuuza na kuendelea na majadiliano ya WanaJF....ni ushauri tu.