Tanzanians Show us your Estates

Hivi wakenya mna hata ardhi ya kujenga? Kama mlima kilimanjaro mnatuonesha picha upo Kenya sembuse nyumba za Google?
last time I checked, Watanzania mnakodisha ardhi kutoka Kwa serikali yenu 'tukufu' sisiemu. Kati yangu mkenya na wewe mdangangiza nani hana ardhi?
 
last time I checked, Watanzania mnakodisha ardhi kutoka Kwa serikali yenu 'tukufu' sisiemu. Kati yangu mkenya na wewe mdangangiza nani hana ardhi?
Gharama ya kukodisha ni sawa na bure. Na hakuna ukomo. Kwaio wewe endelea kuisifia ardhi ya ukoo wa Kenyatta
 
Gharama ya kukodisha ni sawa na bure. Na hakuna ukomo. Kwaio wewe endelea kuisifia ardhi ya ukoo wa Kenyatta
Kweli ujinga haina dawa. Mimi niko na kipande cha ardhi niliyoridhi kutoka Kwa babangu ambaye pia aliridhi kutoka Kwa babake (babu yangu). Asante Kwa kunikumbusha kwamba Kenyatta ni babu yangu 🤣🤣🤣🤣
 
Kweli ujinga haina dawa. Mimi niko na kipande cha ardhi niliyoridhi kutoka Kwa babangu ambaye pia aliridhi kutoka Kwa babake (babu yangu). Asante Kwa kunikumbusha kwamba Kenyatta ni babu yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jinga kweli wewe. Namaanisha kwamba ni asilimia ndogo Sana ya wakenya wanamiliki ardhi. And chansi ni ndogo Sana kwa ambae hakurithi ardhi kumiliki ardhi. So wakenya asilimia kubwa NI hawana ardhi na Wala hawataweza kumiliki ardhi kwani imeshamilikiwa na wachache. Usichoelewa nini wewe chokoraa?
 
Mbona mwongo ww tz kuna slums km za kibera.
Km ulikua hujui nyumba zanunuliwa kwa kasi ktk kila miji mipya inayojengwa kigamboni,kijichi etc kwa bei nafuu saw kijana
 
Ahahahahha usilete ya matajir wachache ukajiunganisha na ww mla sukuma week .
Sawa totoz
Hebu dhibitisha haya madai yako maana Mimi naweza kukuletea ushahidi kwamba wakenya tunaishi Maisha Bora kuwaliko
 
Unaona ulivyo mropokaji.
Huku kuna watu wana maeneo heka kumi kumi nambie Kenya ipo iyo usiropoke wewe hakuna mtu anayekodisha ardhi.ya serikali but serikali ndio inafanya hvyo kwetu
last time I checked, Watanzania mnakodisha ardhi kutoka Kwa serikali yenu 'tukufu' sisiemu. Kati yangu mkenya na wewe mdangangiza nani hana ardhi?
 
Unaona ulivyo mropokaji.
Huku kuna watu wana maeneo heka kumi kumi nambie Kenya ipo iyo usiropoke wewe hakuna mtu anayekodisha ardhi.ya serikali but serikali ndio inafanya hvyo kwetu
Heka kumi ndogo bro watu wana hadi Heka 100 tena na zaidi na wanalima zote
 
Kaka sio kosa lake.ana malnutrition kwa kuendekeza sana sukuma week mpk kapata oedema ya ubongo huyo.
 
Heka kumi ndogo bro watu wana hadi Heka 100 tena na zaidi na wanalima zote
Then huyo chokoraa hajui km huku kigamboni viwanja vinauzwa bei ya pipi tena vikuuuubwa anataka kulinganisha sisi na wao wanaofurahia utajir wa wachache
 
Then huyo chokoraa hajui km huku kigamboni viwanja vinauzwa bei ya pipi tena vikuuuubwa anataka kulinganisha sisi na wao wanaofurahia utajir wa wachache
Wanafurahia kukaa estate [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona mwongo ww tz kuna slums km za kibera.
Km ulikua hujui nyumba zanunuliwa kwa kasi ktk kila miji mipya inayojengwa kigamboni,kijichi etc kwa bei nafuu saw kijana
Wewe unafurahia kuishi kwenye haya mabanda?
 
haya ni mambo ambayo mumeaminishwa na serikali yenu sisiemu kutoka enzi za Nyerere. Nilikuwa nafatilia Sana ile kipindi cha "Wasia Wa Baba" na ninajua kweli kwamba haya mambo Alikuwa akiyasema Sana Nyerere. Yote tisa, unaweza kudhibitisha hapa kwamba madai unaposema ni kweli? Leta link go prove your point. That's the nature of JF. If you can't prove anything here then you better shut the ***k up!
 
Link ya Nini wakati life yenu tunaijua na mmejaa huku bongo. Why should I prove to you wakati ukweli unaujua. Kwani uwongo wakenya wengi hawana ardhi kutokana na Sera ya mkoloni ya kipande system?
 
Kenya is one of the most unequal countries in the sub-region. Forty two percent of its population of 44 million, live below the poverty line. ... Large segments of the population, including the burgeoning urban poor, are highly vulnerable to climatic, economic and social shocks.
 
Kenya won the roads battle by a huge Margin.. Tanzanians please redeem yourselves with this although it's quite tricky.
Kenya is one of the most unequal countries in the sub-region. Forty two percent of its population of 44 million, live below the poverty line. ... Large segments of the population, including the burgeoning urban poor, are highly vulnerable to climatic, economic and social shocks.

Lipeni kwanza madeni ya wachina ndo mrudi...Estate zipi hizo wakati 90% ya wakenya wanalala nyumba za nyasi???
 
Hiyo sasa ni sauti ya Mdanganyika wakati amefinywa kabisa.Tulishazoea hiyo.Mtuonyeshe Tandale na Mwananyamala kwa Kopa
Mtuonyeshe mitaa ya mabanda Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…