Tanzanians Show us your Estates

Unajua km hzo nyumba sio chafu km za kibera,bali zimekaa ktk mfumo wa nuclear settlement.
Kingine hyo robo ya robo ya Daresalam hujakuona Kijichi,kibamba,makabe,sinza,kinondoni,ilala boma,kigamboni,chamazi na etc.
Jua kwamba Dar ni kubwa kuliko Nairobi sawa kijana.
Yani hzo nyumba ni robo ya robo ya Daresalam sawa kuna maeneo mengi yamejengeka
Kama haya ndio maisha mazuri TZ wacha nitulize tu kibera [emoji849][emoji90][emoji90][emoji86][emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116]View attachment 1118194View attachment 1118195
 
Usibishe ww nyie hamna social welfare sufficiently.
Unajua km kwetu hvyo vtu vyote vapatikana kiurahisi.
Na kingine hyo Gdp inabaki serikalini lakn socially kenya mko vbaya.
 
Tz nakubali kuna watu lazies,lakn now magufuli anatunyoosha ndio maana watu wenye kujitegemea wameongezeka.
Japokuwa Gdp yetu ndogo ni 1.8 dollar lakn watu tunaishi maisha simple tunajenga kiurahisi,tunanunua vyakula kwa bei rahisi shortly socially tz tuko vzuri.
Sio ww mwenye Gdp kubwa lakn kula yako ya mzozo,kujenga taabu unapanga hadi sasa hv, kijana kenya socially mko vbaya msibishe ishi ki reality sio kwa uchumi wa makaratasi usiowanufaisha wananchi ila mabwanyeye wachache
 
Kama wanalipwa vzur hao madaktari wako wasingegoma
ummayed...eti unasema wafanyikazi wa serikali tanzania wanalipwa vizuri kuliko kenya....bwahahaaa..kisha eti ukawataja madaktari...yani kwanza kw madaktari usiguse...
 
Acha ushabiki za kijinga. Kila mweza Watanzania hununua takriban magari 4500 wakati Nairobi pekee the The National Transport and Safety Authority registers 7,000 vehicles monthly. Hiyo ni ya Nairobi pekee yake. Yani kiufupi ni kwamba idadi ya magari inayonunuliwa Nairobi Kwa mwezi pekee ni Mara mbili ya idadi ya magari hununua Tanzania nzima kwa mwezi. Saa zingine ni vizuri kufanya utafiti kidogo Kabla ya kutangazia dunia nzima ulivo mjinga
 
Hivi unaakili sawa sawa? Unaleta data za 2014 kwa issue ya 2019. Bro, tuishie hapa.
 
Hivi unaakili sawa sawa? Unaleta data za 2014 kwa issue ya 2019. Bro, tuishie hapa.
That one alone can't change the fact that uwezo wenu wa kununua na kumiliki magari iko chini sana ukilinganisha na kenya. The difference is just five years, so usituambie eti miujiza imefanyika ndani ya hizo miaka mitano. Kama unapinga leta dhibitisho
 
Niqqa, can't argue with you. Go have a rest.
 
Niqqa, can't argue with you. Go have a rest.
You can't argue with me coz you don't have facts and can't prove anything you say. jitahidi ununue gari, huku kwetu Kenya zimejaa
 
Tupande na miparachichi mingi. Watakuja kutubembeleza ili wanunue na maesteit yao!!!
Watanzania mvua zinanyesha. Tufanye kazi tuje kuwalisha hawa manyang'au ya Kenya gunia moja tuwauzie laki 5.
 
Hongera wewe uishio Estate..what air do you breath in?! Just curious!
 
We tushakuzoea data za 2012 uliniletea 2019 unapagawa ww
You can't argue with me coz you don't have facts and can't prove anything you say. jitahidi ununue gari, huku kwetu Kenya zimejaa
 
Ishi kwa reality usiishi kwa kasumba.
Kwann wagome km wanalipwa vzury.
Nimeamin wewe huna akili unaishi kwa kasumba instead of reality
 
Hata America inasifiwa kuwa na uchumi mkubwa ila hawaishi maisha mazuri kuizidi Qatar.
Hizo ni uchumi za karatasi na kasumba.
Ingekua wanalipwa vzury kwann wagome.
Unamjua anayelipwa vzury ww
 
Wee gari unalo.Au unashabikia waliyonayo.
Awamu ya magufuli watu wananunua magar km pipi kijana we.hujui tu
 
Ishi kwa reality usiishi kwa kasumba.
Kwann wagome km wanalipwa vzury.
Nimeamin wewe huna akili unaishi kwa kasumba instead of reality
Huenda ikawa halipwi vile inastahili, but what I know is that kila mwisho wa mwezi, wanapokea mishahara mizuri kuliko madakitari Watanzania. Huo ndio ukweli. And anything you say here won't change that fact. Kojoa ulale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…