Do you expect a miracle to happen within five years if it hasn't happened in 50 years since you gained independence? Na aliewazuia kuweka figures za 2019 ni nani? Bado mko nyuma sana kubalini yaishe
Unachekesha wewe.
Kufanikiwa sio miracle Bali ni juhudi sawa kijana.
Mm nahisi ww ht maana ya motivation hujui.
Miaka yote iliyopita hayakufanyika yaliyofanyika sasa unataka kusema hyo miracle laaa juhudi wewe.
Ngojea nikutolee mfano maajabu yanafanyikaje juhudi ikifanyika ht ndan ya muda mfupi.
Tz metre gauge imerekebishwa ndan ya miaka hii,sgr inajengwa now barabara zimepanuliwa vya kutosha mishahara imeongezeka pato la taifa limeongezeka ktk miaka hii tofaut na. Miaka ya nyuma kukopa kumepungua.
Ndege zaid ya tano zimenunuliwa miaka hii ilhal hazikuwepo miaka iliyopita.
Hii yote sio miracle but it is hard working through motivation and well outstanding sawa mmama.
Ndio maana nasemaga ww una akili za kibeki tatu.
Waulize marekan how did miracle happened until China is their greatest rival in economy,while America ruled over decades.Remedy urself ishi kiuhalisia usiishi kwa kasumba.
Yan humu jamii forum mm ni mtoto kuliko wote lakn nakuzid had kifikra