Tanzanians Show us your Estates

Mmejaza mikebe probox vitz na passo mnasema na nyie mnanunua magari?
Do you kwamba mnauchumi wa mandazi tu lakin mnapiga nao mayowe kila mahali...
Magari hapa mjn Dar Ni yakutosha sana tu hadi periurban roads ziko busyView attachment 1119309
I can bring hundreds of such pictures from Nairobi but I can't cause it doesn't reflect the true picture on the ground. Leta link from a reliable source to prove to us that more Tanzanians own vehicles than kenyans
 
Do you expect a miracle to happen within five years if it hasn't happened in 50 years since you gained independence? Na aliewazuia kuweka figures za 2019 ni nani? Bado mko nyuma sana kubalini yaishe
Ulipoamua kutoa data za pande zote ungeweka zilizobalance hujui namna ya kudefend hoja
 
Umeshaambiwa magari ambayo yamesajiliwa hadi sasa ni 2.5M unataka kusema Kenya yako 25M ama maana siwaelewi
 
Ulipoamua kutoa data za pande zote ungeweka zilizobalance hujui namna ya kudefend hoja
Wewe ndo hujui kudefend hoja. if you feel that what I said wasn't right or doesn't reflect the true picture on the ground, you could have countered my argument by bringing data from your relevant authority with figures on the same. But inside cell you've decided kupiga domo, I rest my case
 
wale walimu wanaofunza tanzania si wengi na wana feli tu colledge...pia sana sana wengi wao ni wazee walio retire pia...uani uende tz ukalipwe ksh15k...si kituko...bwahahaaa
 
Au ukae hapo cbd ukipiga picha malls kwa ifinix[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
hhhhhh!!nipo mgahawani najifungua na wanangu tu.......ila usijali...kesho utanieleza vizuri hayo matatizo yako...kwaheri...
 
Umeleft free WIFI area[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmejaza mikebe probox vitz na passo mnasema na nyie mnanunua magari?
Do you kwamba mnauchumi wa mandazi tu lakin mnapiga nao mayowe kila mahali...
Magari hapa mjn Dar Ni yakutosha sana tu hadi periurban roads ziko busyView attachment 1119309
Iyo probox unayoidharau ni over 700k Kenya.
Si 250k kama huko LDC
 
Kwahiyo mnauziwa 700k juu nyinyi ni njuguna???
demand mzee...hzo ni gari za biashara boss...vijijini zimejaa km vile piki piki ..na hapo inauzwa ksh700-900k..na ni juu kenya watu wengi ni watu na biashara zao ..so wana afford...
 
Iyo gari ndio zinabeba mizigo zimegeuzwa Kua suzuki carry sikuhz nimekuelewa!!
 
tuusan...hzo gari ni punda boss...hao wajapan hapo wamecheza sana...mara ya kwanza kenya zilikuwazauzwa kitu ksh250k...jamaa walizidharau sana...lkn sai wafanyibiashara wamezinunua mpka basi...na bado wanaendelea kuzinunua...
 
Ah kaka we waache bhana sukuma week zawalevya hao
Sasa kwann taarifa ya TZ ni ya 2014 wakati ya Kenya ni 2016? Maana navyofaham mm mwaka mmoja unabadili mengi tu
 
Do you expect a miracle to happen within five years if it hasn't happened in 50 years since you gained independence? Na aliewazuia kuweka figures za 2019 ni nani? Bado mko nyuma sana kubalini yaishe
Unachekesha wewe.
Kufanikiwa sio miracle Bali ni juhudi sawa kijana.
Mm nahisi ww ht maana ya motivation hujui.
Miaka yote iliyopita hayakufanyika yaliyofanyika sasa unataka kusema hyo miracle laaa juhudi wewe.
Ngojea nikutolee mfano maajabu yanafanyikaje juhudi ikifanyika ht ndan ya muda mfupi.
Tz metre gauge imerekebishwa ndan ya miaka hii,sgr inajengwa now barabara zimepanuliwa vya kutosha mishahara imeongezeka pato la taifa limeongezeka ktk miaka hii tofaut na. Miaka ya nyuma kukopa kumepungua.
Ndege zaid ya tano zimenunuliwa miaka hii ilhal hazikuwepo miaka iliyopita.
Hii yote sio miracle but it is hard working through motivation and well outstanding sawa mmama.
Ndio maana nasemaga ww una akili za kibeki tatu.
Waulize marekan how did miracle happened until China is their greatest rival in economy,while America ruled over decades.Remedy urself ishi kiuhalisia usiishi kwa kasumba.
Yan humu jamii forum mm ni mtoto kuliko wote lakn nakuzid had kifikra
 
Ndio maana kenya mna mambo stagnant had tz inawakuta tofaut ni kuwa hela yetu ndio haijafikia thaman yenu ila ukiangalia mambo mlioyafanya kenya miaka kedekede tunayafanya sisi ndan ya miaka kumi how's that wonderful
Do you expect a miracle to happen within five years if it hasn't happened in 50 years since you gained independence? Na aliewazuia kuweka figures za 2019 ni nani? Bado mko nyuma sana kubalini yaishe
 
Ndio maana kenya mna mambo stagnant had tz inawakuta tofaut ni kuwa hela yetu ndio haijafikia thaman yenu ila ukiangalia mambo mlioyafanya kenya miaka kedekede tunayafanya sisi ndan ya miaka kumi how's that wonderful
ummayed...kaifa kana eid?
 
Ndio maana kenya mna mambo stagnant had tz inawakuta tofaut ni kuwa hela yetu ndio haijafikia thaman yenu ila ukiangalia mambo mlioyafanya kenya miaka kedekede tunayafanya sisi ndan ya miaka kumi how's that wonderful
ahbirnii haulal eid swahib...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…