Tanzanians Show us your Estates

Wakenya hamjui kujenga nyumba nzuri. Ni vile tu hakuna mtu mwenye time ya kupiga picha. Ila ukitaka kujua nyumba nzuri bongo zipoje, Tembelea maeneo kama Tua Ngoma- Kigamboni, Mbweni, Mikocheni, Goba, Masaki nk....
Ukitoka huko, nyumba za Nby utaziona kama Taka taka.
 
weka picha hapa..masaki ligi yake huku ni Fedha embakasi
 
Una akili kubwa waache hao wapambane na sifa zao za ki dada
 
Reactions: Oii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…