Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Highland Villa, Msasani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umoja wa vijanaView attachment 1111483
mapicha unaweka hapa 90% ni renders
Mkuu, ni kutokana na kukosekana kwa picha ya majengo husika... Hivyo nalazimika kukuletea zinazopatikana. Ila ukitembelea eneo husika. Hayo majengo yote yanayoonekana kwenye picha utayakuta. Sio vitu vya kufikirika... Ni majengo halisi...enders
buda kwa akili yako timamu unaona mko juu ya mombasa?Mkuu, ni kutokana na kukosekana kwa picha ya majengo husika... Hivyo nalazimika kukuletea zinazopatikana. Ila ukitembelea eneo husika. Hayo majengo yote yanayoonekana kwenye picha utayakuta. Sio vitu vya kufikirika... Ni majengo halisi...
Hapana mkuu. Hatuko juu ya Mombasa...buda kwa akili yako timamu unaona mko juu ya mombasa?
Pia modern and developed than those big villagesKitengela town is bigger than mbeya,dodoma,iringa,moshi etc View attachment 1110791
Sasa hizo ni nyumba au mabweni ya Mabibo histel?Kawe Beach appartments
View attachment 1111412
Hii ni render not yet actualized
Expansion joints za Magu of 10bln,CAG 50bln,,mnaibiwa kweupe
Hiyo kweli, mpo ovyo sana, nyumba zimetapakaa bila mpango wowote, kwa Kenya tumewekeza sana kwenye mpangilio wa nyumba, kwa mfano hapa ninakoishi ipo sheria baina yetu aina ya nyumba zinazofaa kujengwa na pia hairuhusiwi kujenga nyumba zaidi ya orofa moja.