Tanzanians Show us your Estates

Tanzanians Show us your Estates

Highland Villa, Msasani

1111451
 
Mkuu, ni kutokana na kukosekana kwa picha ya majengo husika... Hivyo nalazimika kukuletea zinazopatikana. Ila ukitembelea eneo husika. Hayo majengo yote yanayoonekana kwenye picha utayakuta. Sio vitu vya kufikirika... Ni majengo halisi...
 
Mkuu, ni kutokana na kukosekana kwa picha ya majengo husika... Hivyo nalazimika kukuletea zinazopatikana. Ila ukitembelea eneo husika. Hayo majengo yote yanayoonekana kwenye picha utayakuta. Sio vitu vya kufikirika... Ni majengo halisi...
buda kwa akili yako timamu unaona mko juu ya mombasa?
 
Darasa letu lilipata Division One nyingi wakati wewe ulipata Division four.
Nadhani nimeeleweka.
 
Kenyans acheni ulimbukeni wa kifala..System ya appartment ni fully Capitalist System ambayo ilikuwa introduced sababu ya ufinyu wa ardhi i.e only few people own land..hao watu wachache ndio wanakua decision maker on how kenyan can live through their Estate projects...kwa picha ya juu juu Kenyans mnaweza.kutamba juu ya hizo estates lakini kiukweli hamuenjoy life kama sisi waTanzania wengi tunavyomiliki ardhi na.kujenga dream houses and have whatever we think in our own land..tulichokuwa tunakosa ni mpangilio mzuri wa hivyo viwanja ambao kwa sasa mfumo umebadilika sana unaweza kuona changes kubwa kuna sysytem katika mitaa yetu..mfano mzuri ni maeneo kama ya MBEZI BEACH, BAHARI BEACH, UNUNIO BEACH, MBWENI, THE WHOLE OF KIGAMBONI CITY just few to mention are newly emerged planned suburb. Unaweza kuona tofauti ya iliyopo kati ya TZ na KENYA. Wakenya wenye akili watanielewa.
 
Hiyo kweli, mpo ovyo sana, nyumba zimetapakaa bila mpango wowote, kwa Kenya tumewekeza sana kwenye mpangilio wa nyumba, kwa mfano hapa ninakoishi ipo sheria baina yetu aina ya nyumba zinazofaa kujengwa na pia hairuhusiwi kujenga nyumba zaidi ya orofa moja.

Sina shaka Kenya ina Kila aina ya hatua zaidi ya Tanzania lakini Tanzania tuna kuwa sasa
 
Back
Top Bottom