Tanzanians Show us your Estates

Tanzanians Show us your Estates

Mambo mengi kaka.
Nyie mna magari nyumba mshaoa mm ndio kwanza natembelea pikipiki ya Yamaha
hta wenye majumba na magari pia lazima wapambane..si wajua hamna anayetaka kurudi nyuma kimaisha....
 
Kweli kaka lakini waliofanikiwa hawatambana sanaa kuliko yule ambae hajafanikiwa bado.
hta wenye majumba na magari pia lazima wapambane..si wajua hamna anayetaka kurudi nyuma kimaisha....
 
1560240591129.png

One of value affecting factors of Dar's Real Estate.
 
Back
Top Bottom