Tanzanians, show us your roads

Tanzanians, show us your roads

Baringo,Turkana road
tapatalk_1557834221767.jpeg
 
Mavi ya kuku, Uhuru yupi anayeweza kujenga barabara 7,000Km?, hukusikia kipindi cha kampeni za uchaguzi wa 2017 alivyokua anakosolewa na Raila kwa kutojenga hata KM 3,000.

Ninyi mumezoea kudanganywa na corrupt Jubilee yenu. Kama ambavyo mliahidiwa kujengewa 5 big stadia za michezo, hakuna hata moja ilijengwa, hivyo hivyo kwa barabara, hakuna hata 3000km iliyojengwa. Tanzania kwa barabara hamuiwezi acheni kujilinganisha na Tanzania.
Kule kwao wanajengewa barabara km kidogo alafu inajazwa mbwembwe zote ili kuwadanganya si unajua wanapenda sifa [emoji23][emoji23][emoji23]aalfu sasa pesa itakayotumika hapo
 
Hehehe you are desperate sana. I support my claims with evidences, ebu tuonyeshe penye Raila alisema nayo. Without evidences we will assume you base your argument on jealously and pain.
Mavi ya kuku, Uhuru yupi anayeweza kujenga barabara 7,000Km?, hukusikia kipindi cha kampeni za uchaguzi wa 2017 alivyokua anakosolewa na Raila kwa kutojenga hata KM 3,000.

Ninyi mumezoea kudanganywa na corrupt Jubilee yenu. Kama ambavyo mliahidiwa kujengewa 5 big stadia za michezo, hakuna hata moja ilijengwa, hivyo hivyo kwa barabara, hakuna hata 3000km iliyojengwa. Tanzania kwa barabara hamuiwezi acheni kujilinganisha na Tanzania.
 
Hehehe kuleta picha imekushinda umebaki ukilialia.
Mavi ya kuku, Uhuru yupi anayeweza kujenga barabara 7,000Km?, hukusikia kipindi cha kampeni za uchaguzi wa 2017 alivyokua anakosolewa na Raila kwa kutojenga hata KM 3,000.

Ninyi mumezoea kudanganywa na corrupt Jubilee yenu. Kama ambavyo mliahidiwa kujengewa 5 big stadia za michezo, hakuna hata moja ilijengwa, hivyo hivyo kwa barabara, hakuna hata 3000km iliyojengwa. Tanzania kwa barabara hamuiwezi acheni kujilinganisha na Tanzania.
 
Joto LA jiwe ulitaka interchange, this is known as Njoro interchange. 300km from Nairobi
tapatalk_1557742209489.jpeg
bjiO9jS9UFNJORO%20INTERCHANGE.jpeg
 
Wapi penye Rails alisema Uhuru hajenga hata 3000km? Nangoja.
Picha ipi itakayoonyesha kilometer 7000 zilizojengwa na Uhuru?, NDINDA amewashindilia picha za barabara za Tanzania hadi mumechanganyikiwa, bado unahitaji picha zingine?
 
Hehehe ati Ndida? Mbona amehepa?
Picha ipi itakayoonyesha kilometer 7000 zilizojengwa na Uhuru?, NDINDA amewashindilia picha za barabara za Tanzania hadi mumechanganyikiwa, bado unahitaji picha zingine?
 
Ndida akaona kama hii ngoma jawezi akatotoka, Tuusan akajaribu akakimbia, Ichoboy akakam na midomo mingi pia yeye akavuka fence. Game Over nayeraliona barabara za Kisumu na Nakuru akamute. Sasa wewe ndio umekam na maneno tu, utaweza kweli?

You must be sick in the head table down real facts from a credible source to ascertain your claims .
kenyas paved road network coverage is almost twice that of Tanzania despite Tanzania having a huge landmass.
joto la jiwe ,game over ,wilson255 na Oii wanafeel kujinyonga kwa sababu wamepigwa 100 nil. Tz ina 12000km na Kenya 21000km paved roads.
Bw. tuusan kindly bring the report ya paved roads za tz.
 
Ndida akaona kama hii ngoma jawezi akatotoka, Tuusan akajaribu akakimbia, Ichoboy akakam na midomo mingi pia yeye akavuka fence. Game Over nayeraliona barabara za Kisumu na Nakuru akamute. Sasa wewe ndio umekam na maneno tu, utaweza kweli?
Huyu msisiemu tumemzoea. Mwambie alete facts aache domodomo
 
Hey hey, nangoja penye Raila alisema ati Uhuru bado hajenga hata 3000km. Usiwe kama Ichoboy mwenye nilimshow anionyeshe render ya 12lanes ya Ubongo akakimbia.

Back
Top Bottom