Tanzanians, show us your roads

Tanzanians, show us your roads

whooping 18 lanes
1097514
 
Huu uongo ukadanganye nyanyaako, utaletewa official figures na wengine, I'm busy
tuusan alikuwa ameileta wakati mlikuwa mnajilinganisha na Rwanda.
Ni vizuri kuwa busy sasa na kujitia hamnazo ili kuepukana na ugonjwa wa moyo/ presha baada ya kupokea kipigo cha wiki.
Alasiri njema kaka
 
Hiyo ni Ally Hassan Mwinyi Road,eneo kati ya Morocco-Victoria-Makumbusho. Safi sana mkuu NDINDA. Jamaa zetu wa Thika Road wamekula za uso. Hakika hawatakaa warudie kupambana nasi. Kwa road network,najivunia kuwa Mtanzania tuko vizuri sana. Mwendokasi tu kwa mfano wanataabika kutufikia,wameliwa za uso. Na sasa kuna phase ya Mbagala-City Centre hawa jamaa watazimia aisee.
Kwa mjini Nairobi pekee,Kenya wanatuzidi labda Fly over zao,lakini ni minor kwa vase nzima ya mtandao wa barabara kwa level ya nchi,Tanzania tuko juu sana.
 
Hahaha hizi nazo mko zero kabisa
Kwa nini? Kumbuka hizo ni kutoka Daraja la Kigamboni kuingia Mjini au kwenda Bandarini. Ni sehemu ya daraja la Kigambon ndugu teargass. Ni kama daraja la Mkapa njia ya kuelekea kule Mtwara,lina urefu wa kilometa 1(1000m) kuvuka Mto Rufiji. Lakini kwa sababu eneo ni la Low Level Delta(low level land profile/terrain), kabla ya kulifikia Daraja la mkapa kuna madaraja makubwa size ya wastani 7 na Box culvert za kutosha. So nadharia hiyo iko sawa na hapo Kigamboni(Nyerere) Bridge.
 
I think the title of this thread should have been specific. Not any road.
I'm seeing so many ugly, narrow, old roads. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

The fact is Kenya has about 5000 more KM of roads than Tanzania. But I thought this thread was to show the quality, not quantity.
Barabara nyingi zimepostiwa hapa ni za kufichwa.
Takwimu za wapi hizo? KeNHA au Tanroads?
 
Alaf tukimaliza hapa tunaingia kwenye bus stage sasa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] tuone kama utakaa humu ndani
Wakumbushe na stendi za mabasi,utacheka. Ni weupe,hawana kitu.
 
Kenyan roads are beautiful
Hahahahaha, hiyo ni dalili ya kushindwa, how do you measure beauty of the road?. You can only compare length, width and strength of tarmac roads, may be if there potholes or not, in all these parameters, Tanzanian roads are far ahead of Kenya, now you are coming with non measurable/ qualitative indicator, this is purely desperation stage.
 
Desperate young fool. In matters of quality roads, you're laggards in this region. Rwanda, Kenya, Uganda ....I've no idea where you rank
I will repeat.... Compare yourselves with Burundi
 
Desperate young fool. In matters of quality roads, you're laggards in this region. Rwanda, Kenya, Uganda ....I've no idea where you rank
I will repeat.... Compare yourselves with Burundi
And you should compare with your twin sisters Somalia and South Sudan, you share common characters, hunger, insecurity, and tribalism.
 
Back
Top Bottom