Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
At least you've conceded defeat today. Good evening boy"Mtaweweseka mchana ila usiku mtalala,
Mkiamka asubuhi ni kichapo kwa bakora"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
At least you've conceded defeat today. Good evening boy"Mtaweweseka mchana ila usiku mtalala,
Mkiamka asubuhi ni kichapo kwa bakora"
Huu uongo ukadanganye nyanyaako, utaletewa official figures na wengine, I'm busyjoto la jiwe ,game over ,wilson255 na Oii wanafeel kujinyonga kwa sababu wamepigwa 100 nil. Tz ina 12000km na Kenya 21000km paved roads.
Bw. tuusan kindly bring the report ya paved roads za tz.
tuusan alikuwa ameileta wakati mlikuwa mnajilinganisha na Rwanda.Huu uongo ukadanganye nyanyaako, utaletewa official figures na wengine, I'm busy
Provide source of Data.Tanzania iko na 12,000 of tarmaced road Kenya iko na 21,0000km. Nyinyi myatushinda tu kwa kupiga midomo.
Yeah, ni kweli kutoka Bunda kwenda Musoma au kwenda Rorya-Tarime hadi mpakani Sirari,babara ni nzuri sana. Kampuni ya China ilihusika.
Hiyo ni Ally Hassan Mwinyi Road,eneo kati ya Morocco-Victoria-Makumbusho. Safi sana mkuu NDINDA. Jamaa zetu wa Thika Road wamekula za uso. Hakika hawatakaa warudie kupambana nasi. Kwa road network,najivunia kuwa Mtanzania tuko vizuri sana. Mwendokasi tu kwa mfano wanataabika kutufikia,wameliwa za uso. Na sasa kuna phase ya Mbagala-City Centre hawa jamaa watazimia aisee.
HII NDO PICHA BORA KABISA YA UZI HUU
Maumivu imekupata ww hapo, ushapewa evidence unabwabwaja.Maumivu itakuuma.Ahero interchange under constructionView attachment 1097466
Mambo ya Kigamboni hayo baada ya kuvuka Nyerere Bridge,ndo unakutana na hayo ma Over&Underpass
Kenyan roads are beautiful
Kwa nini? Kumbuka hizo ni kutoka Daraja la Kigamboni kuingia Mjini au kwenda Bandarini. Ni sehemu ya daraja la Kigambon ndugu teargass. Ni kama daraja la Mkapa njia ya kuelekea kule Mtwara,lina urefu wa kilometa 1(1000m) kuvuka Mto Rufiji. Lakini kwa sababu eneo ni la Low Level Delta(low level land profile/terrain), kabla ya kulifikia Daraja la mkapa kuna madaraja makubwa size ya wastani 7 na Box culvert za kutosha. So nadharia hiyo iko sawa na hapo Kigamboni(Nyerere) Bridge.Hahaha hizi nazo mko zero kabisa
Takwimu za wapi hizo? KeNHA au Tanroads?I think the title of this thread should have been specific. Not any road.
I'm seeing so many ugly, narrow, old roads. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
The fact is Kenya has about 5000 more KM of roads than Tanzania. But I thought this thread was to show the quality, not quantity.
Barabara nyingi zimepostiwa hapa ni za kufichwa.
Wakumbushe na stendi za mabasi,utacheka. Ni weupe,hawana kitu.Alaf tukimaliza hapa tunaingia kwenye bus stage sasa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] tuone kama utakaa humu ndani
18 lanes zipo wapi hapo, ni kichaa kimekushika auwhooping 18 lanesView attachment 1097514
Hahahahaha, hiyo ni dalili ya kushindwa, how do you measure beauty of the road?. You can only compare length, width and strength of tarmac roads, may be if there potholes or not, in all these parameters, Tanzanian roads are far ahead of Kenya, now you are coming with non measurable/ qualitative indicator, this is purely desperation stage.Kenyan roads are beautiful
😍😍😍 Tanzania is very beautiful. 💚 💚💚Kama kwetu ushago.
Desperate young fool. In matters of quality roads, you're laggards in this region. Rwanda, Kenya, Uganda ....I've no idea where you rankHahahahaha, hiyo ni dalili ya kushindwa, how do you measure beauty of the road?. You can only compare length, width and strength of tarmac roads, may be if there potholes or not, in all these parameters, Tanzanian roads are far ahead of Kenya, now you are coming with non measurable/ qualitative indicator, this is purely desperation stage.
And you should compare with your twin sisters Somalia and South Sudan, you share common characters, hunger, insecurity, and tribalism.Desperate young fool. In matters of quality roads, you're laggards in this region. Rwanda, Kenya, Uganda ....I've no idea where you rank
I will repeat.... Compare yourselves with Burundi