Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
KENYA: WATU 39 WAKAMATWA KWA KUHUDHURIA HARUSI. KUKAA KARANTINI KWA GHARAMA ZAO
-
Maafisa wa Polisi wamewakamata wanawake 39 walihudhuria harusi kwa siri licha ya marufuku ya Serikali dhidi ya mikusanyiko ya Umma kuhusiana na kuenea kwa #COVID19
-
Wanawake hao walikuwa wamehudhuria harusi ya mwenzao katika eneo la Nasra, Komarock, jijini Nairobi kabla ya kugunduliwa na Polisi waliokuwa wakifanya doria
-
Kamanda Wilson Kosgey amesema wanawake hao sasa watatengwa kwa lazima katika kituo cha Karantini cha KMTC na watahitajika kujigharamia wenyewe kwa siku 14 watakazokaa humo.