Tanzanians stop guess work in this pandemic time

Tanzanians stop guess work in this pandemic time

KENYA: WATU 39 WAKAMATWA KWA KUHUDHURIA HARUSI. KUKAA KARANTINI KWA GHARAMA ZAO
-
Maafisa wa Polisi wamewakamata wanawake 39 walihudhuria harusi kwa siri licha ya marufuku ya Serikali dhidi ya mikusanyiko ya Umma kuhusiana na kuenea kwa #COVID19
-
Wanawake hao walikuwa wamehudhuria harusi ya mwenzao katika eneo la Nasra, Komarock, jijini Nairobi kabla ya kugunduliwa na Polisi waliokuwa wakifanya doria
-
Kamanda Wilson Kosgey amesema wanawake hao sasa watatengwa kwa lazima katika kituo cha Karantini cha KMTC na watahitajika kujigharamia wenyewe kwa siku 14 watakazokaa humo.
 
Watu mnaosema magufuli kafeli hamjielewi kwa sababu ukiacha mambo ya ibada ambayo ni muhimu hatua mbalimbali zimechukuliwa ili kupunguza maambukizi.kwa hiyo watu mnaosema magufuli kafeli you are fool.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maeneo mbalimbali watu wanahimizwa kunawa mikono kwa sanitizer,watu tumeambiwa tusikae karibukaribu ,misongamano mbalimbali tumesisitizwa tupunguze na wageni wakija wanawekwa karantini kwa wiki 2 na nyingine nyingi na pia tumesisitizwa tumuombe mungu wetu.lockdown kwenye nchi zetu hizi ambazo watu wanategemea kazi haina maana watu wataishije?
Hata gani hizo amechukua? Ebu zitajie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu mnaosema magufuli kafeli hamjielewi kwa sababu ukiacha mambo ya ibada ambayo ni muhimu hatua mbalimbali zimechukuliwa ili kupunguza maambukizi.kwa hiyo watu mnaosema magufuli kafeli you are fool.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ibada kando, nasikia huko kwenu milango za bar na vilabu (night clubs) bado ziko wazi hadi wa leo. Huku Kenya hata mazishi inahudhuriwa na watu wasiozidi 15. In short, mikusanyiko wa aina yoyote ilishapigwa marufuku
 
Ndiyo watu wanategemea hizo biashara kujiingizia kipato.government can not take precaution on behave of you hahhahhaaa.

So biashara kama hizo ziendelee tu even if they put people's lives at risk just because a few people depend on them? See? Na tukisema ukaidi wa Magufuli mnakatch
 
So biashara kama hizo ziendelee tu even if they put people's lives at risk just because a few people depend on them? See? Na tukisema ukaidi wa Magufuli mnakatch
Watu watakula nini kwa mfano angalia nyie wakenya watu wanagombana na polisi,Mara wengine wanavuka boda kuna tz kwa sababu watu wanataka chakula.sisi Tanzania tunatumia mfumo wa kila mtu kujilinda kwa sababu watu wengi wanategemea kazi wakikaa bila kazi watakula nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom