Tanzanians to pay much more for power

Tanzanians to pay much more for power

Ubinafishaji sio kitu kibaya babu tatizo ni njisi serikali yetu inavyojiingiza kichwa kichwa. Dunia inasonga mbele.Ukitegemea kuwa sera za ujaa zitakuwa na nafasi huko tunakokwenda, unakosea sana.

Hakuna asiyejua unalolisema. Ila kuna vitu ambavyo KAMA NCHI inabidi viwe chini ya TAIFA. Ukisema HOTELI za kitalii ziwe za TaIFA hapa kweli unachemka. Lakini vitu kama JESHI, POLISI, MAJI, UMEME, ELIMU .... kwa ufupi sehemu zisizo na FAIDA na ni muhimu kwa taifa inabidi ziwe za serikali na ikibidi basi serikali lazima iwe inaongezea hela ili kupunguza mzigo kwa walipa kodi. Kuna vitu faida yake huja miaka ijayo na si leo. Kukosekana kwa umeme na maji ya kutosha inaweza kuwa chanzo cha kupoteza investment nyingi sana Tanzania. Nyerere asingelifanya SHULE BURE, leo hii mie ningelikuwa nalima TUMBAKU. Leo shule za kulipia...... kesho itakuwaje? Na hii ndiyo unasema dunia ya sasa inayosonga mbele ehh? USA na UK shule unalipia kiasi gani? Hata chakula shule ni sawa na bure. Hao Mabepari wenyewe unakuta wanajenga METRO ambayo INAWALETEA HASARA ila kwa sababu watu wanawahi kazini na kupunguza magari mjini, hii inaleta FAIDA kwa taifa kwa siku zijazo. Haya yapo leo na wanaendelea vizuri tu. Msiwe watu wa kukimbia kuwajibika kwa jina la KUBINAFISISHA.
Ningelikuwa KIKWETE leo hii umeme ungelikuwa wa SERIKALI na ningeliita WAHANDISI wote wafanye juu chini ili tuwe na umeme na bei iwe poa. Kama Wazungu waliweza, hata sisi tutaweza. Tatizo letu tunacopy na ku-past kila kitu bila kukiweka katika mazingira yetu. Tangu Mkapa kawafundisha Kubinafsisha basi wote mmeujua. Je Mabenki sasa mnakula KUKU ehh?? Hakuna njia ya mkato. Mafisadi watatula kama kuna cha serikali au si cha serikali so longer sheria hazifuatwi. HEbu soma artical ya Mwanakijiji juu ya RA na mipango yao ya RICHMOND. Dawa ni HARD WORK nakufuata sheria kwa viongozi na raia. Anyway NGOJA tukubaliane tupishane.
 
Tanesco kabla ya kupandisha bei wanatakiwa kuelezea sababu za wao kupandisha bei. Lakini nina uhakika kuwa kwa njia moja au nyingine, mikataba mibovu Tanesco waliyoshurutishwa kuingia na makampuni kama IPTL na RDC ni moja kati ya sababu kubwa za wao kupandisha bei.

Dr. Rashid nafikiri anajitahidi sana kulingana na hali mbaya ya Tanesco na ana rekodi nzuri sana ya mafanikio. Anahitaji apewe muda na support ya serikali.
 
unibafsishaji wa vitu muhimu sana kama umeme siuafiki moja kwa moja, lakini hii sababu ya tanesco peke yake ndio wazalishaji wa umeme tanzania kwa kweli inatumaliza.
of course serikali imekuwa ikiingia mikataba mibovu na kuiumiza tanesco, lakini nayo si dhani kama imefanya kila iwezekanavyo kwenye upande wa management na busness strategies kuhakikisha wana reduce costs zao.

inabidi wapitie upya vitu vyengine, na walivyokuwa hahawezi kuvishughulikia labda kwenye supply chain wanaweza kutafuta kampuni nyengine na kufanya hivyo.
 
Tanesco is working very hard to find alternative source of power i.e

GAS from (1) Songo songo under Songas (2) Mnazi bay under Arthumas (3) Potentional Gas Reserves have been sighted at Mkuranga which are yet to be exploited. Independent power operators are already in place at (1) and (2) (i.e Songas and Arthumas)

COAL : Coal reserves have been identified at (1) Kiwira and Mchuchuma. Kiwira Mine is owned by Tanzanians (by majority share), KCP are known to have sourced their plants from China. On full operation KCP is expected to inject in the national grid an additional 200-230kwatts. As for Mchuchuma no competitive operator has been found as yet. Therefore this source is still open for a performant proposal.

HYDRO POWER: Ruhuji / Lumakali with potential of generating 200-240kW is in the government power master plan. Exploitation of same remains plunged by lack of funds

They are also trying the possibility of Gas turbines source of power producing 250wts capacity formally owned by EDF (France)

Maybe this will reduce all the dependency on what they have currently and even reduce power tariffs

Kwenye management kuna neno maarufu sana lijulikanalo kama strategy, kuna aina mbili za strategy, spouse and execution. Tofauti kati hizo mbili ni spouse always huwa midomoni kwa management na execution ndio iliyopo kwenye vitendo.

Sasa Tanesco wana strategy kwenye midomo yao, they can't walk that talk. To put things togather for execution requires high management skills and intellectual capital which Tanesco shows great shortage.

Dr Rashid na wenzie wameshindwa kuongoza Tanesco, i understand the guy is very smart lakini kwenye swala la Tanesco ameshindwa. There is nothing wrong kushindwa kuongaza, sema unapong'ang'ania kuongoza hapo ndio tatizo hutokea.

Tanesco hawa core competence wala competitive advantage, wapo on top of the wave wana enjoy free ride. Tanesco ni sawa na msafiri anayekwenda asipokujua. Dawa ya Tanesco ni kufungulia ushindani na kuiacha tanesco ishindane bila kuipa msaada wowote. Then wacha ikufe ili tuanzishe something solid.
 
Tanesco kabla ya kupandisha bei wanatakiwa kuelezea sababu za wao kupandisha bei. Lakini nina uhakika kuwa kwa njia moja au nyingine, mikataba mibovu Tanesco waliyoshurutishwa kuingia na makampuni kama IPTL na RDC ni moja kati ya sababu kubwa za wao kupandisha bei.

Dr. Rashid nafikiri anajitahidi sana kulingana na hali mbaya ya Tanesco na ana rekodi nzuri sana ya mafanikio. Anahitaji apewe muda na support ya serikali.

So far Dr Rashid failed kuwashauri watanzania kuhusu swala la Tanesco. Muda wa miaka mingapi anataka? Organization structure and problems zinatofautiana, Dr Rashid ni kiongozi mzuri lakini kwenye Tanesco ameshindwa, that is simple and clear.

Tanesco ni kampuni yenye cost kubwa kama jeshi la Marekani, wameshindwa kucontrol cost zao. Iwe kupitia IPTL, Dowans au Wages and benefits. Huwezi kuendesha kampuni kwa kuongeza price ya product over and over. Tanesco needs washindani.
 
Serikali ya mafisadi hii. Imelipa pea yote Richmond alafu inataka kufidia kutoka kwa wananchi. Watanzania tuandamane bei ya umeme isipande. Dawa ni moja tu kuandamana. Serikali imejaa laaani. Ndani ya serikali kuna homosexuals.
 
Mtanganyika,
Dr. Rashid nafikiri hajakaa Tanesco zaidi ya miaka 2. Tumpe muda tuone anakoelekea. Bei ya umeme nafikiri hadi hivi sasa, ukiongezea running costs, ni ndogo sana kwa watumiaji kuliko bei Tanesco inayonunulia IPTL. Kwa hiyo hawa mabwana wa IPTL, Dowans n.k., ndio wanaosababisha hizi bei kupanda, na Tanesco hawana budi kujiendesha kibiashara kwa kuweka viwango vinavyolipa gharama zao.
 
Kwenye management kuna neno maarufu sana lijulikanalo kama strategy, kuna aina mbili za strategy, spouse and execution. Tofauti kati hizo mbili ni spouse always huwa midomoni kwa management na execution ndio iliyopo kwenye vitendo.

Sasa Tanesco wana strategy kwenye midomo yao, they can't walk that talk. To put things togather for execution requires high management skills and intellectual capital which Tanesco shows great shortage.

Dr Rashid na wenzie wameshindwa kuongoza Tanesco, i understand the guy is very smart lakini kwenye swala la Tanesco ameshindwa. There is nothing wrong kushindwa kuongaza, sema unapong'ang'ania kuongoza hapo ndio tatizo hutokea.

Tanesco hawa core competence wala competitive advantage, wapo on top of the wave wana enjoy free ride. Tanesco ni sawa na msafiri anayekwenda asipokujua. Dawa ya Tanesco ni kufungulia ushindani na kuiacha tanesco ishindane bila kuipa msaada wowote. Then wacha ikufe ili tuanzishe something solid.

Mtanganyika,
NAshindwa kujua uzoefu wako kimaisha uko mkubwa kiasi gani. Naona kama una theory nyingi sana za kutoka DARASANI moja kwa moja. Umeanza vyema ila kumalizia mhh. Kuna vitu vingine duniani havina accelelator na hapo ni kufanya subira huku ukifanya kila msaada ili mambo yaende vizuri. Watz wengi tuna tabia ya kwenda pembeni wakati tundu hilo hapo. Badala ya kulalamika na RICHMOND, IPTL nk wewe unalalamika na TANESCO. Mkapa na genge lake waliona hakuna sehemu unaweza kuvuna pesa kama TANESCO. Wakaivamia na sasa ndiyo tatizo. Hii dawa yake nilishasema ni kuliacha bila msaada wowote ila wakati huo huo bila ya WANASIASA kuliingilia. Kusiwepo Richmonduli wala Anna-Mkapa. Wabunge hasa wa upinzani wawe na nguvu ya kuteuwa Viongozi wa juu wa TANESCO na ukaguzi wake wa mara kwa mara na wao lazima wawe wanatoa riport. Haya mambo ya Jeshi halijalipa bili, Zenji hawataki kulipia, si TANESCO tu ila hata DAWASCO nk yanaliwa kwa namna hiyo. Wakiuza basi wanauza kama ATC na baadaye mnakuja kuachiwa makapi na sijui ukifanya hivyo TANESCO na siku moja mjinga anakuja na kubeba mitambo yote na kuipeleka Kenya(Si mali yake) utasema nini??
 
Serikali ya mafisadi hii. Imelipa pea yote Richmond alafu inataka kufidia kutoka kwa wananchi. Watanzania tuandamane bei ya umeme isipande. Dawa ni moja tu kuandamana. Serikali imejaa laaani. Ndani ya serikali kuna homosexuals.

....njaa na umaskini wako wa kukosa umeme sasa unataka kulaumu homosexuals,hizi chuki hazina maana yeyote na wala hazita solve tatizo la umeme,unabagua wasenge lakini nyie ndio wa kwanza kulia racism.
 
Misleading thread title. What is the actual direct cost incurred by the average non commercial consumer? What is the approximate indirect cost forgone as a result of rationing and other power mishaps? Until one gets these figures it is highly inadvisable to even consider such a conclusion that Tanzanians pay over the odds for their electricity.

Then again I am just playing the devil's advocate here BUT it will be helpful if someone could break down the costs associated with power in Tanzania.

you will wait for long!!!
 
Mtanganyika,
Dr. Rashid nafikiri hajakaa Tanesco zaidi ya miaka 2. Tumpe muda tuone anakoelekea. Bei ya umeme nafikiri hadi hivi sasa, ukiongezea running costs, ni ndogo sana kwa watumiaji kuliko bei Tanesco inayonunulia IPTL. Kwa hiyo hawa mabwana wa IPTL, Dowans n.k., ndio wanaosababisha hizi bei kupanda, na Tanesco hawana budi kujiendesha kibiashara kwa kuweka viwango vinavyolipa gharama zao.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya turning point ya kampuni na ya nchi. Mabadiliko kiuchumi ndani ya nchi yanaweza kuchukua miaka na miaka. Lakini mabadiliko ndani ya kampuni yanaweza kuonekana ndani ya miezi au week.

Dr Rashid hajasema strategy yoyote atakayo chukua kumanage cost ndani ya Tanesco. Labda nikuulize Mh. unataka tuumpe muda gani zaidi? Jee kwa nini asiwapishe wenzie?
 
Mtanganyika,
NAshindwa kujua uzoefu wako kimaisha uko mkubwa kiasi gani. Naona kama una theory nyingi sana za kutoka DARASANI moja kwa moja. Umeanza vyema ila kumalizia mhh. Kuna vitu vingine duniani havina accelelator na hapo ni kufanya subira huku ukifanya kila msaada ili mambo yaende vizuri. Watz wengi tuna tabia ya kwenda pembeni wakati tundu hilo hapo. Badala ya kulalamika na RICHMOND, IPTL nk wewe unalalamika na TANESCO. Mkapa na genge lake waliona hakuna sehemu unaweza kuvuna pesa kama TANESCO. Wakaivamia na sasa ndiyo tatizo. Hii dawa yake nilishasema ni kuliacha bila msaada wowote ila wakati huo huo bila ya WANASIASA kuliingilia. Kusiwepo Richmonduli wala Anna-Mkapa. Wabunge hasa wa upinzani wawe na nguvu ya kuteuwa Viongozi wa juu wa TANESCO na ukaguzi wake wa mara kwa mara na wao lazima wawe wanatoa riport. Haya mambo ya Jeshi halijalipa bili, Zenji hawataki kulipia, si TANESCO tu ila hata DAWASCO nk yanaliwa kwa namna hiyo. Wakiuza basi wanauza kama ATC na baadaye mnakuja kuachiwa makapi na sijui ukifanya hivyo TANESCO na siku moja mjinga anakuja na kubeba mitambo yote na kuipeleka Kenya(Si mali yake) utasema nini??

Tanesco hajaawa kichwa cha mwendawazimu jana wala juzi. Nadhani hatuitaji degree za Harvard kuona kwamba Tanesco ni sawa na tumor ya ubongo ambayo ime grow overtime na sasa inataka kutuuwa.

Nataka urudishe memory card yako nyuma mpaka enzi za mwalim na mwinyi jee Tanesco ilikuwa strong and sufficient? Nafahamu kabisa fixed cost ya IPTL and Richmond imekuwa na effect kubwa sana kwenye kuongeza bei per unit. Lakini jee what happen when IPTL and Richmond wasn't the case? Tusicheze mchezo wa its ur fault, Tanesco were out of control for years and years.
Sasa tumekata mkataba wa IPTL nadhani na wa Dowans, Jee Tanesco will be better?
Kila organization duniani ina jitahidi kuwa cost effecient, lakini kwa Tanesco the case is different. Wamejaza watu kwenye payroll for the sake of kujuana, wana huge maintanance cost kwenye magari chakavu yao yale. Wana miliki wachimba misitimu ambao wanaweza wasichimbe msitimu hata moja kwa week. Jee haya yote ni matatizo ya Dowans na Richmond?

Ukisoma reply yangu ya mwanzo nilisema Dr Rashid alitakiwa kuiangalia Value chain nzima ya Tanesco. Kuanzia supplier, Production, mainatance, all primary activities and surppotive activities. Kisha aangalia kama kuna umuhimu wa kurevamp au kuacha kama ilivyo. That is how CEO analyze the position of the company.

Vitu vya kwenye vitabu ni applicable and that is why vinavundishwa kwenye MBA schools all over the earth.
 
Bado unzidi kuthibitisha kuwa wewe unasoma MBA. Au ndiyo kwanza umemaliza na UMEJAA energy kutaka kutumia yale uliyoysoma ili kuendeleza nchi yako. I wish ningelikuwa na uwezo ningelikuchukua na kukuweka kuwa CEO wa Tanesco. Sijui ungelitumia muda kiasi gani baada ya kukuta kila sehemu ukigusa unaambiwa PASSWORD na PASSWORD hiyo wanayo BOARD au WAZIRI au Rais. Hapo ndipo ungeliona hiyo MBA yako Isivyofanya kazi. Kumbuka kuwa Idris ndiyo aliyefanya mabadiliko makubwa sana BoT na nilipoongea na jamaa zangu wa pale wakasema jamaa alifanya kazi sana.
Walipompeleka pale akawakuta akina Ambassador F. M. Kazaura. Huyu jamaa ingawa SI MFANYAKAZI WA TANESCO, alikuwa na gari, ofisi na marupurupu mengine wakati haitakiwi iwe hivyo. Hawa wanakutana mara moja moja na kumjadili CEO na hapo au wanaenda kwao au wanaenda kazini sehemu nyingine. Alimfukuza Kazaura na hiyo ofisi akampa Boss wa Tanesco Ilala. Hii ilisemwa waziwazi. Na ikazusha vita kubwa sana. Alipodai kiwanda cha Cement kikatiwe umeme, Kazaura akakataa na kuagiza warudishiwe umeme. Idris akasema mie naachia ngazi, na sijui ilikuwaje akabaki. Haya ni yale tu tuliyaona. Hatujui ni mamngapi yameishia kapuni. Tatizo pale TANESCO ni Kambi ya Fisi, Mbweha, Mbwa mwitu, Tai na kila takataka inayotaka kula. Ndiyo maana hadi akina RA wako pale, Lowassa, Mkapa nk.
Hayo unayoyasema nafikiri kwa BOSS aliyewahi kuwa BoT atakuwa anayajua na akisoma si ajabu anakucheka kuwa Bwana mdogo, theory unaijua ila practicl, mhhh. Nina uhahika kama CEO angeliachwa na kufanya mavituz na serikali ije tu kukagua kama anafanya kazi vizuri, nafikiri tusingelikuwa na tatizo. Hiyo hata kama ni mimi ningelipewa.
Wawekezaji binafsi wakija, watajali mijini tu na vijijini hawataenda. Kwani huko ni hasara tupu. Sasa wewe kama CEO wa TANESCO utapeleka kijijini umeme au na wewe utaishia mjini? Huko ukienda ujuwe unapata hasara tu ila kama twataka kwenda mbele, lazima na huko umeme ufike na watu wanze kubadilika. Hii ni kama investment for future. Ni sawa na kusema eti shule ziwe private hata z serikali na zilete faida. Ukipata wanafunzi 1,000 tu wanaingia Chuo kikuu kwa mwaka, unafikiri miaka 20 ijayo utakuwa na TAIFA la kijinga namna gani? Ndiyo maana tunasema kuwa kuna mashirika mengine inabidi yale ya serikali ila tu kuyachunga yasilete HASARA kubwa sana. Haya ni maji, umeme, jeshi, usafiri nk.
 
Mkubwa Sikonge,
Sijadevalue mafanikio ya Dr Rashid akiwa BoT. Kama unaangalia dunia kwa three dimension utaona ya kwamba wapo ma CEO walio fanikiwa katika industry moja lakini wakashindwa 100% kwenye industry nyingine. Hili ni jambo la kawaida kwenye mambo ya manangement. CEO wa financial sector anaweza kushindwa kabisa kwenye energy sector.

Twende kwenye mada, Tanesco inaweza kuwekeza more kwenye altenative energy which will be cheaper kwa watu wa aina zote. Tanesco inaitaji kuconduct more R&D ili kusustain advancement of technology. Hatuwezi kuendelea kuzalisha umeme wa diseal wakati mafuta yana soar kwenye world market.

Nafahamu kabisa IPTL. RDC and Mkapa crippled Tanesco, lakini they just crippled another leg sababu mguu moja wa Tanesco ulikuwa ushavunjika. Angalia shirika kama TTCL atleast linafanya vizuri ukilinganisha na Tanesco.

Kwa hiyo mkuu kuwa CEO wa BoT doesn't means unaweza kuendesha Tanesco under high excellence. Dr Rashid strategies fails, i was expected for him to step down.
 
Tanzanians to pay much more for power
By A STAFF WRITER
THE EAST AFRICAN

Tanzania may have to implement another electricity tariff increase later this year to enable power utility, Tanesco, to operate profitably.

Although a substantial 21.7 per cent tariff increase was effected on February 1, 2008, this has been found to fall short of the cost recovery level that was requested by Tanesco.

The upshot is that the state controlled utility will continue to experience operational cash shortfalls, which could reach Tsh50 billion ($28.5 million) in 2008.

The details are contained in minutes of discussions between the government and a mission of the International Monetary Fund that visited the country in March this year.

While it is not anticipated that Tanesco will need subsidies in the current financial year, the government has recommended that the power utility considers cost-cutting measures.

Tanzania must get Tanesco to financial viability if the country is to enjoy a reliable electricity supply.

Last year, Tanesco had applied to electricity industry regulator, EWURA, for a 40 per cent power tariff increase.

It is understood that EWURA has agreed to consider another request for a tariff increase once Tanesco completes a cost of service study and takes measures to reduce non technical losses — notably theft of electricity.

Tanesco is currently reviewing its financial situation in view of EWURA’s ruling.

In the meantime, the power utility is using the private emergency power generators to meet intermittent power supply deficits.
Currently, the company is in the process of procuring its own 145MW gas-fired generation capacity.

Despite good rains, the financial situation of Tanesco remains vulnerable, partly because of failure to implement cost reducing measures in its financial recovery plan, including the buy out of IPTL, the conversion of its plant and the refinancing of the Songas expansion. Negotiations with IPTL’s main creditors are currently under way.

Tanzania’s energy budget has increased steadily in recent years mainly as a result of the emergency power projects, consisting mainly of leased and owned generators funded through the multilateral debt relief initiative from the IMF.

Although the economy has remained strong — averaging 7 per cent during 2001-2007, thereby outpacing the average for sub-Saharan Africa, intrinsic weaknesses have began to emerge lately.

Government expenditure has bloated significantly, financed mainly by a significant broadening of the revenue base and scaled up donor assistance.

This year’s budget was written against the background of uncertainties in donor financing. Consequently, the government may this year be forced to borrow more from the domestic market to substitute foreign financing.

The circumstances may force the government to introduce expenditure cuts to cushion the budget from the impact of temporary financing uncertainty.

Secondly, inflation has increased in recent months, mainly reflecting rising global food and fuel prices.

There are also risks that inflationary pressures could spread in an environment of rapid credit expansion.

Still, Tanzania’s performance ranks among the best for non-oil exporting countries in sub-Saharan Africa.

Tabu juu ya tabu...shida juu ya shida...umasikini juu ya umasikini
 
i think it is high time kwa viongozi wa taasisi za umma kusema wameshindwa na kazi wanapoona hawawezi kutoa msaada zaidi wenye manufaa kwa umma.

kama kiongozi ameshindwa kuona atalisaidia vipi shirika, nafikiri si ujinga kusema nimejitahidi lakini nimeshindwa na aje mtu mwengine.

matata wa atcl, huyu wa umeme naona kama ni muda mzuri wa kuachia ngazi kwa manufaa ya umma ili kuwapa watu wengine wa kuonyesha uwezo wao pale wao walipokwama
 
Si kwamba namtetea Rashid. Nachotaka kusema ni kuwa UTALETA ma CEO kibao Tanesco na wala tatizo hutalimaliza. Akija mtu binafsi, EWURA hawatasema kitu. Atajipangia bei kiasi atakacho ila leo maadamu Tanesco ni serikali, basi wanakuja na kusema bei iwe hivi wakati hali halisi iko vile. Wanakuja na kusema hawatu watu waajiriwe na hiki bado kiwe hivi. Kuna tofauti kubwa kati ya ATC na TANESCO. Nafikiri TANESCO kama jamaa angelitaka kufukuza watu kazi na kuijenga ATC angelifanya hivyo kwani si kitengo muhimu kwa nachi na sanasana hapo akina Chenge walikuwa wanakula tu. Katika usafiri sehemu za kuwa za TAIFA ni kama Barabara, airport, reli nk. Matrain, ndege, meli nk ziwe za watu binafsi. Hivi kama hatutakuwa na ATC sisi Sikonge tutakufa? Aka, hata uwanja wa ndege wenyewe hakuna.
Nyie watu naona hamjui kuwa SWALA la Energy na Maji linaweza kusababisha VITA YA TATU YA DUNIA. Haya maswala inabidi yakae na kujadiliwa na SERIKALI/TAIFA na kupanga nini kiwepo miaka 5, 10, 20 na hata 50 ijayo. Sisi siku zote twapanga "Mie Lowassa sasa ni PM, Mkapa ni RAis, Yona ni Waziri (nk) nileje kwa kupitia TANESCO? Nafikiri Bunge lingelifuatilia hili na kulipa TOP PRIOLITY kwa wabunge wote, tatizo lingeliisha. Ni aibu BALOZI za nchi kibao pale Dar wanawasha magenerator miaka kibao. Mjini makelele wee. Kibaya zaidi ni kwamba, WANALIJUA TATIZO, WANAJUA JINSI YA KULISOLVE, ILA KWA UFISADI WAO, WANALISOLVE KIFISADI. Tatizo lenu wengi mnafikiri jamaa ni WAJINGA na hawana uwezo. Make no mistake. Laiti angelikuja Joseph Stallin na kuwapa muda wa miezi mitatu TANESCO iwe na FAIDA na vinginevyo kuanzia Mawaziri hadi CEO watalamwaba RISASI hadharani, basi ungelishangaa kuwa KUMBE TANESCO INAFAIDA KIASI HICHO na tungelikuwa na umeme hadi wa kuuza nje. Hii ina maana kuwa Tatizo linaanzia KIchwani. Na kichwa cha TANESCO siye CEO.
 
Pamoja na hoja zingine, naipongeza tanesco kwa kuanzisha huduma ya kulipia umeme kwa atm, hizi mita za luku nazo ni poa tu, nanunua umeme kwa kiwango na muda ninaohitaji.

kuhusu kuunganishwa umeme sasa ni shwari, jamaa yangu mmoja huko mwanza anashukuru ameunganishiwa umeme kwa wakati tena bila kutolewa upepo (kuombwa rushwa).

Ningeshauri tuwaache tanesco wajiendeshe kibiashara zaidi, kama kunahaja ya kuongeza bei ili kukidhi gharama za uendeshaji basi waongeze. mie pamoja na kuwa na umeme wa tanesco natumia solar energy, taa fridge tv radio zinatumia solar energy, huu mwezi wa nne sasa sijanunua vocha ya luku!

Hata hawa Dowans na Richmond wanaweza kusambaza na kuuza umeme sambamba na tanesco iwapokufanya hivyo watapata faida. Tusiione tanesco kuwa mungu-mtu kuwa uhai wetu uko mikononi mwao.
 
Mh.
Inaonekana wewe umeshakwenda mbele zaidi ya Tanesco, umeshajua maana ya altenative energy, jee ni watanzania wangapi wanajua kwamba wanaweza kuchanganya solar na HEP?

Tanesco ni monopoly, ambae anatetewa na serikali kitu ambacho ni kosa kubwa sana. Tanesco inabidi ivunje vunjwe kwenye vipande kisha viachwe vishindane. Tutazalisha kazi zaidi, vile vile tutapunguza bei sababu ya ushindani.
 
Mkubwa Sikonge,

Twende kwenye mada, Tanesco inaweza kuwekeza more kwenye altenative energy which will be cheaper kwa watu wa aina zote. Tanesco inaitaji kuconduct more R&D ili kusustain advancement of technology. Hatuwezi kuendelea kuzalisha umeme wa diseal wakati mafuta yana soar kwenye world market.

Nafahamu kabisa IPTL. RDC and Mkapa crippled Tanesco, lakini they just crippled another leg sababu mguu moja wa Tanesco ulikuwa ushavunjika. Angalia shirika kama TTCL atleast linafanya vizuri ukilinganisha na Tanesco.

Kwa hiyo mkuu kuwa CEO wa BoT doesn't means unaweza kuendesha Tanesco under high excellence. Dr Rashid strategies fails, i was expected for him to step down.

...unawaambia wafanye more R & D wakati hata huo umeme kuzalisha na kukusanya bills hawawezi,lakini siwalaumu sana kwa kutofanya hizo R & D maana hata nchi zilizoendelea hizo kazi mara nyingi zinafanywa na private/Govts lab au universities or specilized companies na makampuni kama Tanesco wanakuwa consumer tuu wa hizo technology,tatizo la Tanesco ni siasa nyingi na hakuna business pale ni ubabaishaji mtupu,can you imagine Zanzibar wanadaiwa 22billion na mwenyekiti wa body anawakingia kifua wasilipe,can you imagine uamuzi wa kununua mitambo au kuingia mikataba yao unafanywa na mawaziri au makatibu wakuu wizarani na sio CEO na wataalam wake,nakuhakikishia pale tunapoteza muda tuu tutaendelea kubeba huu mzigo kwa kutoa ruzuku kila siku na umeme utaendelea kuwa scarse & expensive
 
Back
Top Bottom