Tanzanians vs Kenyans on media: Kenya 3 Tanzania 0

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
7,225
Reaction score
9,830

View: https://youtu.be/tHAAFLufHDw?si=l5sS0QYnVPjadanB

Sikiza hiyo:

Kuna mpambano mkali sana kati ya Wakenya na Watanzania kwenye mitandao baada ya sekeseke la Wanasheria na Wanaharakati wa Kenya kukamatwa, kuteswa na kufurushwa kwenda makwao.

Wabunge wa Tanzania kina msukuma darasa la 7 anadai Watz WANA AKILI SANA hivo hawana cha kujifunza toka kwa Wakenya! Hv huyu Class 7 ana ujasiri gani wa kuongea pumba hz Bungeni na Wabunge wa CCM wanamshangilia? Mfano halisi: Uchumi wa Kenya uko juu as compared na Tanzania economy. SHILINGI (Kshs) 1/= ni sawa na SHILINGI( Tshs) 21/=!!! As per exchange rate ya leo!!

Wakenya wame hack mtandao wa X Polisi Tanzania. Wakenya wametengeza AI Video ya Mama SSH ako na mimba! Na bado wameingia na kudukua akaunti za baadhi ya Wabunge wa CCM wenye kamdomo akiwemo Msukuma!!!
Tujiulize nani mwenye akili hapa?? Unayedukuliwa simu zako na kuingiliwa mifumo yako ya mitandao ya Serikali au anayedukua taarifa zako???

Tafakari.
 
Kwa kweli mimi km kijana wa Kitanzania,nina kila sababu ya kuwashukuru ndugu zetu Wakenya kwa msaada wao mkubwa wa kupambana na Joka kuu
 
Uharo aliouharisha Jana msukuma bungeni niliona aibu Mimi kama mtanzania mzalendo.Maana alitudhalilisha watanzania tunaonitambua.Mtu unaelimu ya darasa la saba unapata wapi ujasiri wa kusema hatuna hata kimoja Cha kujifunza kutoka Kenya?Wakenya ndiyo hawana Cha kujifunza Tanzania maana wao wanauchumi mkubwa mara tatu ya uchumi wa Tanzania.mtandao wa barabara Kenya ni mara tatu ya Tanzania,flyover Kenya ni zaidi ya mara kumi ya flyover za Tanzania.mfumo wa elimu Kenya ni Bora zaidi kuliko wa Tanzania halafu nguchirommoja ameshiba makande ambaye kapata ubunge Kwa njia haramu anahalisha bungeni kusema Tz haina Cha kujifunza Kenya?
 
Pamoja na upuuzi unaoendelea sijiskii vizuri kwa mitusi wanayotupa wakenya. Kutwa kututusi sisi wajinga, kuwa hatukijui kizungu, wao wanaokijua kimewafikisha wapi pa muno? Nchi nyingi mfano USA hawataki hata kuwaskia hao wakenya maana wanaona kumvunjia mtu heshima ndio ujanja. Wanaona kujua kiingereza ndio kuwa smart. Hebu watafute tusi jipya kwanza. Awakosee mtu mmoja wajumuishe watz milioni 60+ kisa nini?? Mxxxiieeuu Sijapenda kwakweli. Wanatuita wajinga kwanini labda? Bora mtu aniite hata maku kuliko aniite mjinga 😏😔
Hv kwa akili yako hao Wakenya wangeliachwa wakasikilixa hiyo kesi ya Lissu pale Kisutu kulikuwa na tatizo gani?
Kumbuka hiyo kesi ime draw attention ya dunia nzima. Kumbuka pale Mahakamani kulikuwa na Mabalozi wa nchi za nje wanao wakilisha nchi zao hapa Tanzania.

Lakini kibaya zaidi ni kitendo cha Mapolisi wa Tanzania kuwakamata hao Wanasheria wa Kenya na kuwasweka ndani, kuwatesa, kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kingono. Kwann hawakurudishwa kwene Ubalozi wao au Airport na kupandishwa kwenye ndege warudi makwao??
 
Uharo aliouharisha Jana msukuma bungeni niliona aibu Mimi kama mtanzania mzalendo.Maana alitudhalilisha watanzania tunaonitambua.Mtu unaelimu ya darasa la saba unapata wapi ujasiri wa kusema hatuna hata kimoja Cha kujifunza kutoka Kenya?Wakenya ndiyo hawana Cha kujifunza Tanzania maana wao wanauchumi mkubwa mara tatu ya uchumi wa Tanzania.mtandao wa barabara Kenya ni mara tatu ya Tanzania,flyover Kenya ni zaidi ya mara kumi ya flyover za Tanzania.mfumo wa elimu Kenya ni Bora zaidi kuliko wa Tanzania halafu nguchirommoja ameshiba makande ambaye kapata ubunge Kwa njia haramu anahalisha bungeni kusema Tz haina Cha kujifunza Kenya?
Kaka ni Watz wachache sana wenye mawazo kama yako. Binafsi nimejisikia aibu mpaka natamani kujificha.
Wakenya walivo wakorofi wameingia mtandao wa Bunge wameangalia CV ya Mbunge Msukuma ni DARASA LA SABA!!!
Halafu Msukuma anapanua domo lake ati Watanzania hawana cha kujifunza kwa Wakenya!! Kwa akili ndogo ya huyu Msukuma kihiyo anadai Wakenya wasitutishe na Kiingereza Chao! Very bogus!
Hii ni kuonyesha inferiority complex kwa vile ni class 7 na hajui English. Badala
 
Attachments

  • 1748335214222.jpg
    1748335214222.jpg
    175.8 KB · Views: 28
Kati
Hv kwa akili yako hao Wakenya wangeliachwa wakasikilixa hiyo kesi ya Lissu pale Kisutu kulikuwa na tatizo gani?
Kumbuka hiyo kesi ime draw attention ya dunia nzima. Kumbuka pale Mahakamani kulikuwa na Mabalozi wa nchi za nje wanao wakilisha nchi zao hapa Tanzania.

Lakini kibaya zaidi ni kitendo cha Mapolisi wa Tanzania kuwakamata hao Wanasheria wa Kenya na kuwasweka ndani, kuwatesa, kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kingono. Kwann hawakurudishwa kwene Ubalozi wao au Airport na kupandishwa kwenye ndege warudi makwao??
Dunia imemshaangaa huyu mama sana,,Tanzania nchi ile zamani katika chuo kikuu Mlimani kulifanywa kuwa chimbo la Wanaharakati?,kina Mseven,JOHN Garang,Walter Rodney, etc...watu hawa walikula mpaka kodi zetu ili kundeleza Harakati.... Samia anatia Aibu!!
Sa100 hatoshi kuwa hata Mkuu wa Shule.
 
Na wewe kwa akili yako kama hukuelewa nilichoandika usingedakia kujibu. Read to understand not to just respond. Umenijibu kwa mhemko sana. Hakuna aliyefurahia kitendo walichofanyiwa majirani, mimi sijapenda watanzania wote tulivyoitwa wajinga na matusi mengine mengi. That was my point
 
Leo nimefanyiwa assessment na mkenya, ebhana eeh kiingereza sio kama cha Prof. Mkandara.l, wapo vyedi sana.
 
Wakenya nimewavulia kofia wamefukunyua wamepata namba za simu za baadhi ya wabunge akina msukuma , msambavangu na wengine wengi wakaanza kuwavurumushia matusi kupitia whatup vedio calls, messages hadi wabunge wakazima simu zao.
Jamaa kweli wanajua fujo
 
Kati
Dunia imemshaangaa huyu mama sana,,Tanzania nchi ile zamani katika chuo kikuu Mlimani kulifanywa kuwa chimbo la Wanaharakati?,kina Mseven,JOHN Garang,Walter Rodney, etc...watu hawa walikula mpaka kodi zetu ili kundeleza Harakati.... Samia anatia Aibu!!
Sa100 hatoshi kuwa hata Mkuu wa Shule.
Ujue hata ktk maandiko Matakatifu Mungu alijua hilo akasema, " SIMPI RUHUSA YA MWANAMKE KUMTAWALA MWANAMME"
 
Back
Top Bottom