Tanzanians vs Kenyans on media: Kenya 3 Tanzania 0

Tanzanians vs Kenyans on media: Kenya 3 Tanzania 0

Kati
Dunia imemshaangaa huyu mama sana,,Tanzania nchi ile zamani katika chuo kikuu Mlimani kulifanywa kuwa chimbo la Wanaharakati?,kina Mseven,JOHN Garang,Walter Rodney, etc...watu hawa walikula mpaka kodi zetu ili kundeleza Harakati.... Samia anatia Aibu!!
Sa100 hatoshi kuwa hata Mkuu wa Shule.
Ujue hata ktk maandiko Matakatifu Mungu alijua hilo akasema, " SIMPI RUHUSA YA MWANAMKE YA KUMTAWALA MWANAMME"
Wakenya nimewavulia kofia wamefukunyua wamepata namba za simu za baadhi ya wabunge akina msukuma , msambavangu na wengine wengi wakaanza kuwavurumushia matusi kupitia whatup vedio calls, messages hadi wabunge wakazima simu zao.
Jamaa kweli wanajua fujo

View: https://youtu.be/IEyxkd_z4LM?si=268Caf1v1Iqgs_oO
 
Uharo aliouharisha Jana msukuma bungeni niliona aibu Mimi kama mtanzania mzalendo.Maana alitudhalilisha watanzania tunaonitambua.Mtu unaelimu ya darasa la saba unapata wapi ujasiri wa kusema hatuna hata kimoja Cha kujifunza kutoka Kenya?Wakenya ndiyo hawana Cha kujifunza Tanzania maana wao wanauchumi mkubwa mara tatu ya uchumi wa Tanzania.mtandao wa barabara Kenya ni mara tatu ya Tanzania,flyover Kenya ni zaidi ya mara kumi ya flyover za Tanzania.mfumo wa elimu Kenya ni Bora zaidi kuliko wa Tanzania halafu nguchirommoja ameshiba makande ambaye kapata ubunge Kwa njia haramu anahalisha bungeni kusema Tz haina Cha kujifunza Kenya?

View: https://youtu.be/IEyxkd_z4LM?si=268Caf1v1Iqgs_oO
 
wakenya wengi ni wapuuzi sana, always ni watu wanaojiona wameshayamaliza
 
Pamoja na upuuzi unaoendelea sijiskii vizuri kwa mitusi wanayotupa wakenya. Kutwa kututusi sisi wajinga, kuwa hatukijui kizungu, wao wanaokijua kimewafikisha wapi pa muno? Nchi nyingi mfano USA hawataki hata kuwaskia hao wakenya maana wanaona kumvunjia mtu heshima ndio ujanja. Wanaona kujua kiingereza ndio kuwa smart. Hebu watafute tusi jipya kwanza. Awakosee mtu mmoja wajumuishe watz milioni 60+ kisa nini?? Mxxxiieeuu Sijapenda kwakweli. Wanatuita wajinga kwanini labda? Bora mtu aniite hata maku kuliko aniite mjinga 😏😔
Hongera wakenya fanya mtakavyo. Tuna wapumbavu wengi manina
 

View: https://youtu.be/tHAAFLufHDw?si=l5sS0QYnVPjadanB

Sikiza hiyo:

Kuna mpambano mkali sana kati ya Wakenya na Watanzania kwenye mitandao baada ya sekeseke la Wanasheria na Wanaharakati wa Kenya kukamatwa, kuteswa na kufurushwa kwenda makwao.

Wabunge wa Tanzania kina msukuma darasa la 7 anadai Watz WANA AKILI SANA hivo hawana cha kujifunza toka kwa Wakenya! Hv huyu Class 7 ana ujasiri gani wa kuongea pumba hz Bungeni na Wabunge wa CCM wanamshangilia? Mfano halisi: Uchumi wa Kenya uko juu as compared na Tanzania economy. SHILINGI (Kshs) 1/= ni sawa na SHILINGI( Tshs) 21/=!!! As per exchange rate ya leo!!

Wakenya wame hack mtandao wa X Polisi Tanzania. Wakenya wametengeza AI Video ya Mama SSH ako na mimba! Na bado wameingia na kudukua akaunti za baadhi ya Wabunge wa CCM wenye kamdomo akiwemo Msukuma!!!
Tujiulize nani mwenye akili hapa?? Unayedukuliwa simu zako na kuingiliwa mifumo yako ya mitandao ya Serikali au anayedukua taarifa zako???

Tafakari.

Aliyekwambia pesa ikiwa na thamani kubwa ndio uchumi mkubwa nani? Yen ya Japan ina thamani ndogo sana, lakini uchumi wake ni mkubwa. Unalijua hilo?
 
Aliyekwambia pesa ikiwa na thamani kubwa ndio uchumi mkubwa nani? Yen ya Japan ina thamani ndogo sana, lakini uchumi wake ni mkubwa. Unalijua hilo?
Acha ubishi wa kichawa ww!!
Hv unaijua US Dollar ya Mmarekanì nchi yenye uchumi mkubwa duniani?
Linganisha na shilingi yako ya madafu ndo utajua hujui! Strongest currency inaendana na strongest economy. Mfano mwingine ni hapo Zimbabwe wakti wa marehemu Mzee Mugabe au Uganda wakti wa Marehemu Idd Amin utajua maana ya thamani ya pesa na Uchumi znavoenda sambamba!
 
wakenya wengi ni wapuuzi sana, always ni watu wanaojiona wameshayamaliza
Ukiwa na akili za kina Msukuma na kina Bashite yaani ZERO BRAIN utawaona hvo Wakenya.....but Kenyans are far better than you. Chukua hiyo!
 

Attachments

  • 1748335214222.jpg
    1748335214222.jpg
    175.8 KB · Views: 17
Acha ubishi wa kichawa ww!!
Hv unaijua US Dollar ya Mmarekanì nchi yenye uchumi mkubwa duniani?
Linganisha na shilingi yako ya madafu ndo utajua hujui! Strongest currency inaendana na strongest economy. Mfano mwingine ni hapo Zimbabwe wakti wa marehemu Mzee Mugabe au Uganda wakti wa Marehemu Idd Amin utajua maana ya thamani ya pesa na Uchumi znavoenda sambamba!
Wewe ni maamuma wa uchumi. Dollar sio pesa yenye thamani kubwa kuliko zote duniani, lakini inatumika kama SI Unit ya pesa zote duniani. Kwanini?
 
Back
Top Bottom