Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Vya kusaidiwa vina madharaWatanzania wengi wamefungwa midomo Mungu katuletea Wakenya watusemee.
Kwa kweli mimi km kijana wa Kitanzania,nina kila sababu ya kuwashukuru ndugu zetu Wakenya kwa msaada wao mkubwa wa kupambana na Joka kuu
View: https://youtu.be/tHAAFLufHDw?si=l5sS0QYnVPjadanB
Sikiza hiyo:
Kuna mpambano mkali sana kati ya Wakenya na Watanzania kwenye mitandao baada ya sekeseke la Wanasheria na Wanaharakati wa Kenya kukamatwa, kuteswa na kufurushwa kwenda makwao.
Wabunge wa Tanzania kina msukuma darasa la 7 anadai Watz WANA AKILI SANA hivo hawana cha kujifunza toka kwa Wakenya! Hv huyu Class 7 ana ujasiri gani wa kuongea pumba hz Bungeni na Wabunge wa CCM wanamshangilia? Mfano halisi: Uchumi wa Kenya uko juu as compared na Tanzania economy. SHILINGI (Kshs) 1/= ni sawa na SHILINGI( Tshs) 21/=!!! As per exchange rate ya leo!!
Wakenya wame hack mtandao wa X Polisi Tanzania. Wakenya wametengeza AI Video ya Mama SSH ako na mimba! Na bado wameingia na kudukua akaunti za baadhi ya Wabunge wa CCM wenye kamdomo akiwemo Msukuma!!!
Tujiulize nani mwenye akili hapa?? Unayedukuliwa simu zako na kuingiliwa mifumo yako ya mitandao ya Serikali au anayedukua taarifa zako???
Tafakari.
Inategemea.Vya kusaidiwa vina madhara
Ka picha p'seWakenya wametengeza AI Video ya Mama SSH ako na mimba!
Tanzania hasa Bunge letu limekubali Akili NDOGO kuongoza AKILI KUBWA. Ndiyo maana unaona wabunge wengi ambao ni VIHIYO ndo wanaojenga hoja Bungeni. Ni aibu ya dunia nzima!!!Wabunge wa mchongo walikuwa wanatetea unyama huu.
View: https://youtu.be/wD3C8ZM9O7Q?si=-TSveavVqUtymGus
Hv kwa akili yako hao Wakenya wangeliachwa wakasikilixa hiyo kesi ya Lissu pale Kisutu kulikuwa na tatizo gani?Pamoja na upuuzi unaoendelea sijiskii vizuri kwa mitusi wanayotupa wakenya. Kutwa kututusi sisi wajinga, kuwa hatukijui kizungu, wao wanaokijua kimewafikisha wapi pa muno? Nchi nyingi mfano USA hawataki hata kuwaskia hao wakenya maana wanaona kumvunjia mtu heshima ndio ujanja. Wanaona kujua kiingereza ndio kuwa smart. Hebu watafute tusi jipya kwanza. Awakosee mtu mmoja wajumuishe watz milioni 60+ kisa nini?? Mxxxiieeuu Sijapenda kwakweli. Wanatuita wajinga kwanini labda? Bora mtu aniite hata maku kuliko aniite mjinga 😏😔
Kaka ni Watz wachache sana wenye mawazo kama yako. Binafsi nimejisikia aibu mpaka natamani kujificha.Uharo aliouharisha Jana msukuma bungeni niliona aibu Mimi kama mtanzania mzalendo.Maana alitudhalilisha watanzania tunaonitambua.Mtu unaelimu ya darasa la saba unapata wapi ujasiri wa kusema hatuna hata kimoja Cha kujifunza kutoka Kenya?Wakenya ndiyo hawana Cha kujifunza Tanzania maana wao wanauchumi mkubwa mara tatu ya uchumi wa Tanzania.mtandao wa barabara Kenya ni mara tatu ya Tanzania,flyover Kenya ni zaidi ya mara kumi ya flyover za Tanzania.mfumo wa elimu Kenya ni Bora zaidi kuliko wa Tanzania halafu nguchirommoja ameshiba makande ambaye kapata ubunge Kwa njia haramu anahalisha bungeni kusema Tz haina Cha kujifunza Kenya?
Dunia imemshaangaa huyu mama sana,,Tanzania nchi ile zamani katika chuo kikuu Mlimani kulifanywa kuwa chimbo la Wanaharakati?,kina Mseven,JOHN Garang,Walter Rodney, etc...watu hawa walikula mpaka kodi zetu ili kundeleza Harakati.... Samia anatia Aibu!!Hv kwa akili yako hao Wakenya wangeliachwa wakasikilixa hiyo kesi ya Lissu pale Kisutu kulikuwa na tatizo gani?
Kumbuka hiyo kesi ime draw attention ya dunia nzima. Kumbuka pale Mahakamani kulikuwa na Mabalozi wa nchi za nje wanao wakilisha nchi zao hapa Tanzania.
Lakini kibaya zaidi ni kitendo cha Mapolisi wa Tanzania kuwakamata hao Wanasheria wa Kenya na kuwasweka ndani, kuwatesa, kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kingono. Kwann hawakurudishwa kwene Ubalozi wao au Airport na kupandishwa kwenye ndege warudi makwao??
Na wewe kwa akili yako kama hukuelewa nilichoandika usingedakia kujibu. Read to understand not to just respond. Umenijibu kwa mhemko sana. Hakuna aliyefurahia kitendo walichofanyiwa majirani, mimi sijapenda watanzania wote tulivyoitwa wajinga na matusi mengine mengi. That was my pointHv kwa akili yako hao Wakenya wangeliachwa wakasikilixa hiyo kesi ya Lissu pale Kisutu kulikuwa na tatizo gani?
Kumbuka hiyo kesi ime draw attention ya dunia nzima. Kumbuka pale Mahakamani kulikuwa na Mabalozi wa nchi za nje wanao wakilisha nchi zao hapa Tanzania.
Lakini kibaya zaidi ni kitendo cha Mapolisi wa Tanzania kuwakamata hao Wanasheria wa Kenya na kuwasweka ndani, kuwatesa, kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kingono. Kwann hawakurudishwa kwene Ubalozi wao au Airport na kupandishwa kwenye ndege warudi makwao??
waganda vipi, mbona kulikuwa na mtu wao? Hatuoni mbilinge zao mitandaoni kama wakenyaTumejikuta tunatetewa na Wakenya ila sisi aaaggh
Ujue hata ktk maandiko Matakatifu Mungu alijua hilo akasema, " SIMPI RUHUSA YA MWANAMKE KUMTAWALA MWANAMME"Kati
Dunia imemshaangaa huyu mama sana,,Tanzania nchi ile zamani katika chuo kikuu Mlimani kulifanywa kuwa chimbo la Wanaharakati?,kina Mseven,JOHN Garang,Walter Rodney, etc...watu hawa walikula mpaka kodi zetu ili kundeleza Harakati.... Samia anatia Aibu!!
Sa100 hatoshi kuwa hata Mkuu wa Shule.