Tanzanians, why are u guys so sad?

Intelligent na bado mko LDC?
 
Ulichofanya wewe unaegemea upande mmoja. Kwa taarifa hawamu hii inapiga pesa kuliko hata awamu ya Kikwete. Electronic passport na vichwa vya treni vya bandarini zote zile ni dili. Huwezi jua sasa kwa sababu Magu kaibinya media.
Nachoweza ukwambia serikali hii haina pesa. Waziri wa fedha kakiri week hii kuwa hawana pesa. Wafanyakazi wa procurement BOT Magu kawabadili akiwa na nia yaku print pesa. Siri kubwa ya Magu kukutana na Lowassa ilikuwa anamuuliza pesa walikuwa wanazipataje, nani Kikwete aliye mwambia aongee na Lowassa kwani ndiye aliyekuwa akiratibu mikakati yakuleta pesa nchini kwa kuongea na wafanyabiashara wakubwa.
Msione anaongea kwakuji tutumua kuwa wana pesa. Ukweli hali ni mbaya serikali haina pesa. Magu anaishi kwa propaganda and he is very good at that. Tuna raisi wa kulipiza visasi na mwenye jaziba. Anaendesha nchi utazani ni mwalimu mkuu wa shule. Kiongozi wa nchi lazima uwemsikivu naukubali mawazo mbadala.

Sisi Uhuru tunaongeĺea niule wakujieleza. Leo hii ukienda Bar ukitaka kuiongelea serikali lazima uangalie umezungukwa na nani. Tunaishi kama watumwa ndani ya nchi.
Kama ni swala la maendeleo basi kulikuwa hakuna haja yakuwafukuza wakoloni. Tungewaacha wakaendelea kututupa baharini kama Magu anavyofanya tukapata hizo flyover na SGR.
Tunarahisi wa ajabu kweli. Kama yesu alipingwa yeye nani kutokupingwa.? Watu nchini wanauliwa hovyo na wengine kutupwa baharini. Msitufanye wajinga. Mimi ni mmoja niliyezunguka TZ yote kumpigia Magu kampeni lakini hapa swala nikwamba CCM tulikosea.
 

Unachekesha sana, hivyo nyie mnajiona intelligent kuzidi watu wa mataifa mengine duniani...hehehe! Eti Mtanzania hapo mtaa wa makazi duni wa Tandale anaaumiza kichwa akiwaza 'global warming'
 
Haya bana
Ahaaa haaa haaa

Halafu wewe umeng'ang'ania issue za kujinyonga, hivi unajua Mwafrika kabla afikie hatua ya kujinyonga huwa amepitia mangapi. Wenzetu Ulaya mtoto ukimkaripia tu hilo ni sababu tosha la kufanya makubwa, lakini sisi vitoto vyetu vimezoea mapigo tangu siku ya kuzaliwa.
 
Nakuhakikishia hata hiyo tiki hana,sikuzote sera za ukomunist zinapoanza mnaona kama kuna kitu kitatokea,lakini mwisho wake hakuna kitu. Kaangalie Venezuela,North Korea etc.

Jamaa hajui hata future ya dunia ni nini,tunaenda tuu kwa maguvu !
 
hao waliokula nchi, yeye hawajui???? mbona hawashtakiwi??? akili kumkichwa
 
Usipotoshe umma kusema Magufuli ndio alimwomba Lowassa kwenda Ikulu, huu ni uwongo. In fact Magufuli ndio alinyoosha mkono mara kwanza baada ya uchaguzi 2015 na kumleta TB Joshua kusaidia kusuluhisha, kila mtu anajuwa jinsi Lowassa na kina Mbowe walivyo ringa. This time it was the other way round, alipofikia Magufuli sio pa kumuomba Lowassa aje Ikulu amsaidie kuongoza nchi, amsaidie nini wakati Chadema iko kwenye slow death. Lini Dr mpango alisema Tanzania haina pesa na media wasiandike hata neno moja? Unaweza ukawa na hasira zako binafsi na unajihisi unasikilizwa lakini sijaona nchi duniani ambayo wananchi wake wamekaa tu na hakuna mtu anawasikiliza. Awamu hii kama huna cha kujishughulisha na kiwe halali, utaichukua tu. Hakuna namna nyingine.
 
Unachekesha sana, hivyo nyie mnajiona intelligent kuzidi watu wa mataifa mengine duniani...hehehe! Eti Mtanzania hapo mtaa wa makazi duni wa Tandale anaaumiza kichwa akiwaza 'global warming'
Maneno mengi lakini hamuweki Kenya ni ya ngapi kwenye list, kwa taarifa yako Iraq na Somalia wametajwa wanafurahia sana kuliko Kenya, je analikubali hilo?
 

Wee bana mbona unataka kupotosha ukweli. Yaani niwe na furaha halafu nijiue tena?
Sasa furaha ni nini?
 
hamna pia demokrasia na uhuru suisahau hio pia...nyie ni maskini wa kutupwa LDC most poor countries in the world...mnawawinda na kuwala albino kisha mna uchawi wa nambari moja barani africa..watoto wa wenyewe mnawaroga...furaha itoke wapi?😀😀😀
 
Hatukatai kuna mapungufu, kwa sababu JPM hajatokea mbinguni. lkn haya maneno ya ulalamishi hayatakuja kuisha. Muache ngosha apige KAZI. Kama unakumbuka hata kipindi cha Kikwete watu walilalamika SANA. Kaja JPMwatu wanaendelea kulalamika, mpaka unajiuliza hawa wanataka nini? Kukiwa na mvua bora ya jua, kukiwa na jua bora mvua. SASA mbona hamueleweki? Hutaweza kumfurahisha kila mmoja.
 

Kwanza hamna kiingereza cha most poor. Halafu msipende kumeza taarifa kama dodoki. Be critical when you read any piece of discourse.

The question you have been asked; are Somalis and Afghanistans happier than Kenyans?
 
Maneno mengi lakini hamuweki Kenya ni ya ngapi kwenye list, kwa taarifa yako Iraq na Somalia wametajwa wanafurahia sana kuliko Kenya, je analikubali hilo?

Inawezekana maana vigezo wanatumia vya kisayansi sio mawazo ya hapo kitaa baada ya kushiba uji wa ulezi, usitegemee sana mapicha ya media za ulaya kuhusu Somalia na Iraq.
 
TUJUE NINI KINASABABISHA FURAHA, VIGEZO GANI WAMEVITUMIA KUSEMA HAWA WANA FURAHA NA HAWA WANA HUZUNI
 
Inawezekana maana vigezo wanatumia vya kisayansi sio mawazo ya hapo kitaa baada ya kushiba uji wa ulezi, usitegemee sana mapicha ya media za ulaya kuhusu Somalia na Iraq.
Wengi walioulizwa kwenye hiyo ripoti ni wakimbizi na watu wanao hama kutoka upande mmoja wa nchi kwenda mwingine. Swali ni kwamba wanajisikiaje wanapofika nchi nyingine au sehemu nyingine? Kulikuwa hakuna wahusika wa nchi fulani walio shiriki kwenye utafiti huu.
 


Naelewa hilo. Lakini ukweli ni kwamba watz wengi hawafurahishwi na sera fulani za rais aliyepo kwa sasa, imebainika hivo katika comments tumeona hapa na pia kwenye nyuzi nyingine nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…