Tanzanians, why are u guys so sad?

kwa mwendo wa konokono lakini mtafika tu.
Approximately 7% ni mwendo wa konokono? Nyie mshafikishaga mwendo gani? Jubilee propagandist, give credits where it's due.
 
Nalendwa wewe una furaha? Au ni mwendo wa kununa tu, kutoka chee hadi machweo? Tangaza msimamo, tukukumbuke kwa maombi. πŸ™‚


Lakini mmetuweza sana humu ndani, yaani nimecheka mpaka basi...LOL

Manake Utafiti unasema hatuna furaha, lakini naona baadhi yetu tunavyo lazimisha kuwa na furaha wakati mtu hata anavyo comment kitu fulani unajua tu huyu lazima ana maumivu fulani jinsi ambavyo anaonyesha negativity kwenye comment zake..mtuombee kwa kweli maana hali si nzuri.
 
Babaa unatumia Soda ganii??.. safii kabisaa[emoji106] .. Well Said
 
Excellent message.. [emoji106]
 
C kwelii kwmb anaishi na propaganda.. performance tokaa akiwa waziri wa ujenzi inajieleza.. hadi wenyewe tulijisemeaa kwelii wizara imedhubutu.. kwa halii ilivyokuwa miaka kadhaa iliyopitaa ni kweli 2limwitaji mtu kama huyuu.. hakuna Maendeleo rahisi.. sisi wenyewe kila Mmoja mmoja Ana ushahidi wa hiloo.. Na lazima ufaham kwmbaa Bin a leader is somthin Extra
 
Approximately 7% ni mwendo wa konokono? Nyie mshafikishaga mwendo gani? Jubilee propagandist, give credits where it's due.
Ni mwendo wa konokono mkiwa LDC. Germany hukuwa kwa less than 2% hivyo si kumaanisha Tz Wameishinda au kuipita Germany au vipi kaka? Tafakari hayo kabla utokwe povu.
 
Safii kabisaaa
 
Naelewa hilo. Lakini ukweli ni kwamba watz wengi hawafurahishwi na sera fulani za rais aliyepo kwa sasa, imebainika hivo katika comments tumeona hapa na pia kwenye nyuzi nyingine nyingi.
Ahahah brooh usidanganywee na Comment za watuu humuu.. wengi wetuu tunatyp kwa Miemkoo tuu.. af ni chinii ya 1% ya watanzaniaa
 
I don't think wengine need utafiti kujua, wanaonyesha tu...lol




Hhahaa!, jirani mie nanuna nikiongelea Siasa zetu, zaidi ya hapo sina hiyana mwaya! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Lakini mmetuweza sana humu ndani, yaani nimecheka mpaka basi...LOL

Manake Utafiti unasema hatuna furaha, lakini naona baadhi yetu tunavyo lazimisha kuwa na furaha wakati mtu hata anavyo comment kitu fulani unajua tu huyu lazima ana
Kuna wale wamenuna kweli kweli. Unaifamu ile sura ya mtoto akiwa amepigwa na mamake alafu wakati analia aone anko wa pipi akipita? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Tanzanians' faces right now!
 
ushawahi kusikia mtanzania mkimbizi?achana na hizi propaganda za mitandaoni na wajinga wachache wa chadema
 
ushawahi kusikia mtanzania mkimbizi?achana na hizi propaganda za mitandaoni na wajinga wachache wa chadema

Vita ya uchumi SIYO kitu cha MCHEZO MCHEZO. Tutaandamwa SANA lkn umoja wetu ndiyo nguzo yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…