Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,128
Approximately 7% ni mwendo wa konokono? Nyie mshafikishaga mwendo gani? Jubilee propagandist, give credits where it's due.kwa mwendo wa konokono lakini mtafika tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Approximately 7% ni mwendo wa konokono? Nyie mshafikishaga mwendo gani? Jubilee propagandist, give credits where it's due.kwa mwendo wa konokono lakini mtafika tu.
Ukiangalia map vizuri, utagundua mko sawa na SyriaEti syria inafuraha kuzidi Tanzania.....haya bwana,wamesema wazungu tufanyeje sasa maana hao wakisema lolote tunawaamini tuu
Nalendwa wewe una furaha? Au ni mwendo wa kununa tu, kutoka chee hadi machweo? Tangaza msimamo, tukukumbuke kwa maombi. 🙂Hehehe!, nimecheka humu ndani, wanaoambiwa hawana furaha wengine wanavyobisha sasa...lol!
Nalendwa wewe una furaha? Au ni mwendo wa kununa tu, kutoka chee hadi machweo? Tangaza msimamo, tukukumbuke kwa maombi. 🙂
Nalendwa wewe una furaha? Au ni mwendo wa kununa tu, kutoka chee hadi machweo? Tangaza msimamo, tukukumbuke kwa maombi. 🙂
Babaa unatumia Soda ganii??.. safii kabisaa[emoji106] .. Well SaidHizo ni tafiti za kuzusha tafrani kwa jamii.
Hatuna njaa
Hatuna vita
Hatuna ugaidi
Hatuna wafyatuliaji risasi watoto wetu shule
Hatuna ukabila
Mvua kila mwaka inanyesha VIZURI
Mashamba yamestawi
Hatuna majanga ya asili yaliyopitiliza
Tuna rais ambaye ni mkweli hata ukweli hatuupengi na unauma
Watu hawajiui hovyo
Watu wanapendana
Barabara zimejengwa mikoa karibu yote
SGR ndiyo hiyo yaja
Pipeline tunayo na itakinga na kusafirisha mafuta toka Hoima Uganda, lokichar Kenya, kongo, South Sudan
Orodha ni ndefu.
Excellent message.. [emoji106]You want a romantic tone.
Ahaaa haaa haaa
Sisi kina mura tunasemaga, wee mama rhobhi ebu tenganisha mamiguu nirenge (in mura voice).. ahaaa haaa haaa
Hatunaga sweet voice popote pale.
But all in all, we WANTED such a guy MAANA nchi uliza, kila kukicha watu wanapiga madili tu, halafu Mimi hata buku nilikuwa sipati wakati wengine wanapiga hela ya MAANA. Tuvumilie tu, MAANA hata awamu iliyopita kelele zilikuwa nyingi SANA eti serikali ilikuwa LEGELEGE. Na watu wakaenda mbali ZAIDI kwamba JESHI LISHIKE HATAMU YA UONGOZI. Lkn tunashuku hilo la JESHI halikutokea, amekuja kiongozi wa kiraia ambaye anayafanyia KAZI kikamili yale yoote ambayo yalilalamikiwa sana na waTanzania wengi. Kinachonishangaza, ni pale ninapoona watu wakilalamika na kusahau yale yoote yaliyopita. SASA sijajua, ni wale waliokuwa wakinufaika na mfumo uliopita ndiyo wanaolalama, au ni ile kasumba ya binadamu "hakuna jema". MAANA lazima tukubali kuwa binadamu ni kiumbe wa ajabu SANA, na hata ukisoma kwenye vitabu, vinasema kuna kipindi hata aliyewaumba aliwahi kusema hivi niliwaumba hawa kwa sababu gani? Pengine alijuta kutokana na matendo wanayofanya. Unawapa kila kitu lkn bado hawaridhiki. Wanalalamika tu.
Tumuache tu RAIS afanye KAZI, MAANA huo uhuru ambayo watu wanausema tumekuwa nao kwa miongo kama mitatu hivi, lkn bado haikutusaidia, bado nchi ni masikini kwa uzembe na kutowajibika na rushwa na wizi vyote hivyo vikifanyika chini ya KIVULI CHA UHURU.
RAIS ANAkuwa mkali hivyo kwa sababu anataarifa kamili na usahihi wa kiwango kikubwa watoto jinsi nchi hii ilivyokuwa inaliwa na baadhi ya wenzetu kwa kushirikiana na wageni. Nchi ilikuwa shamba la bibi, watu wanachukuwa bila kufanywa lolote. SASA bibi kapata mjukuu mwenye nia njema ya kulinda mali. Tumuunge mkono na kumtia moyo azidazidishe hizi jitihada za KUJENGA uchumi na kulinda raslimali.
Hizo tafiti zisiwatie kiwewe, MAANA uhalisia wake unatia mashaka, mfano NCHI INAONGOZA KWA FURAHA DUNIANI, HALAFU KWA UPANDE MWINGINE IKO JUU KATIKA ORODHA YA NCHI AMBAZO RAIA WAKE WANAJIUA DUNIANI. MIMI BINAFSI SIJAELEWA. Nilitegemea wasio na furaha ndiyo waongoje kujiua na WENYE furaha wasiwe na sababu ya kujiua MAANA wana amani ya sura, roho, nafasi na AKILI. Hivyo hawana sababu ya kujiua.
Lingine ni vita ya uchumi, tusishangae kupata sifa mbaya hasa toka kwa mabepari. Na hilo halishangazi, MAANA hata Nelson Mandera aliwahi kuwa kwenye ORODHA YA MAGAIDI ya Marekani. Unaweza ukashangaa kwamba hivi naye Mandera alikuwa akiua watu!!? Jibu ni la, kwa sababu alikuwa akipinga sera za ubaguzi wa rangi wa makaburu. Hivyo jambo hilo liliwaudhi mabepari na ndiyo maana wakamwita Mandera gaidi. Ni majuzi tu rais wa Marekani aliyepita Obama akalitoa jina hilo kwenye ORODHA YA ugaidi na kusema ni aibu na dunia haitatuelewa kuwa na jina Mandera kama gaidi. Kwa hiyo maadam KUNA dalili za wazi za vita ya uchumi dhidi ya mabepari tutegemee mengi sana ya kutuvunja moyo na hata kutuchafua.
CC: mulisaaa
C kwelii kwmb anaishi na propaganda.. performance tokaa akiwa waziri wa ujenzi inajieleza.. hadi wenyewe tulijisemeaa kwelii wizara imedhubutu.. kwa halii ilivyokuwa miaka kadhaa iliyopitaa ni kweli 2limwitaji mtu kama huyuu.. hakuna Maendeleo rahisi.. sisi wenyewe kila Mmoja mmoja Ana ushahidi wa hiloo.. Na lazima ufaham kwmbaa Bin a leader is somthin ExtraUlichofanya wewe unaegemea upande mmoja. Kwa taarifa hawamu hii inapiga pesa kuliko hata awamu ya Kikwete. Electronic passport na vichwa vya treni vya bandarini zote zile ni dili. Huwezi jua sasa kwa sababu Magu kaibinya media.
Nachoweza ukwambia serikali hii haina pesa. Waziri wa fedha kakiri week hii kuwa hawana pesa. Wafanyakazi wa procurement BOT Magu kawabadili akiwa na nia yaku print pesa. Siri kubwa ya Magu kukutana na Lowassa ilikuwa anamuuliza pesa walikuwa wanazipataje, nani Kikwete aliye mwambia aongee na Lowassa kwani ndiye aliyekuwa akiratibu mikakati yakuleta pesa nchini kwa kuongea na wafanyabiashara wakubwa.
Msione anaongea kwakuji tutumua kuwa wana pesa. Ukweli hali ni mbaya serikali haina pesa. Magu anaishi kwa propaganda and he is very good at that. Tuna raisi wa kulipiza visasi na mwenye jaziba. Anaendesha nchi utazani ni mwalimu mkuu wa shule. Kiongozi wa nchi lazima uwemsikivu naukubali mawazo mbadala.
Sisi Uhuru tunaongeĺea niule wakujieleza. Leo hii ukienda Bar ukitaka kuiongelea serikali lazima uangalie umezungukwa na nani. Tunaishi kama watumwa ndani ya nchi.
Kama ni swala la maendeleo basi kulikuwa hakuna haja yakuwafukuza wakoloni. Tungewaacha wakaendelea kututupa baharini kama Magu anavyofanya tukapata hizo flyover na SGR.
Tunarahisi wa ajabu kweli. Kama yesu alipingwa yeye nani kutokupingwa.? Watu nchini wanauliwa hovyo na wengine kutupwa baharini. Msitufanye wajinga. Mimi ni mmoja niliyezunguka TZ yote kumpigia Magu kampeni lakini hapa swala nikwamba CCM tulikosea.
Ni mwendo wa konokono mkiwa LDC. Germany hukuwa kwa less than 2% hivyo si kumaanisha Tz Wameishinda au kuipita Germany au vipi kaka? Tafakari hayo kabla utokwe povu.Approximately 7% ni mwendo wa konokono? Nyie mshafikishaga mwendo gani? Jubilee propagandist, give credits where it's due.
Safii kabisaaaUsipotoshe umma kusema Magufuli ndio alimwomba Lowassa kwenda Ikulu, huu ni uwongo. In fact Magufuli ndio alinyoosha mkono mara kwanza baada ya uchaguzi 2015 na kumleta TB Joshua kusaidia kusuluhisha, kila mtu anajuwa jinsi Lowassa na kina Mbowe walivyo ringa. This time it was the other way round, alipofikia Magufuli sio pa kumuomba Lowassa aje Ikulu amsaidie kuongoza nchi, amsaidie nini wakati Chadema iko kwenye slow death. Lini Dr mpango alisema Tanzania haina pesa na media wasiandike hata neno moja? Unaweza ukawa na hasira zako binafsi na unajihisi unasikilizwa lakini sijaona nchi duniani ambayo wananchi wake wamekaa tu na hakuna mtu anawasikiliza. Awamu hii kama huna cha kujishughulisha na kiwe halali, utaichukua tu. Hakuna namna nyingine.
Ahahah brooh usidanganywee na Comment za watuu humuu.. wengi wetuu tunatyp kwa Miemkoo tuu.. af ni chinii ya 1% ya watanzaniaaNaelewa hilo. Lakini ukweli ni kwamba watz wengi hawafurahishwi na sera fulani za rais aliyepo kwa sasa, imebainika hivo katika comments tumeona hapa na pia kwenye nyuzi nyingine nyingi.
I don't think wengine need utafiti kujua, wanaonyesha tu...lol
Hhahaa!, jirani mie nanuna nikiongelea Siasa zetu, zaidi ya hapo sina hiyana mwaya! 😀😀😀
Kuna wale wamenuna kweli kweli. Unaifamu ile sura ya mtoto akiwa amepigwa na mamake alafu wakati analia aone anko wa pipi akipita? 😀😀😀 Tanzanians' faces right now!Lakini mmetuweza sana humu ndani, yaani nimecheka mpaka basi...LOL
Manake Utafiti unasema hatuna furaha, lakini naona baadhi yetu tunavyo lazimisha kuwa na furaha wakati mtu hata anavyo comment kitu fulani unajua tu huyu lazima ana
ushawahi kusikia mtanzania mkimbizi?achana na hizi propaganda za mitandaoni na wajinga wachache wa chadema
Kuna wale wamenuna kweli kweli. Unaifamu ile sura ya mtoto akiwa amepigwa na mamake alafu wakati analia aone anko wa pipi akipita? 😀😀😀 Tanzanians' faces right now!
Kuna wale wamenuna kweli kweli. Unaifamu ile sura ya mtoto akiwa amepigwa na mamake alafu wakati analia aone anko wa pipi akipita? 😀😀😀 Tanzanians' faces right now!
Watanzania sasa hivi.Kunani Hamadi?-- Sijui, lakini acha nilie tu!![]()