Tanzanians, why are u guys so sad?

Tanzanians, why are u guys so sad?

Kusema kweli we are. Magufuli pamoja nakuleta maendeleo anaendesha nchi kibabe sana. Watanzania tumejaliwa kupendana
Mtanzania ni mtu mkarimu. Inapotokea mtu(serikal) ikaanza kujenga chuki kati yetu inakuwa inakera sana. Mimi huwa ni CCM lakini sioni sababu yakuanza kubaguana na vyama vya upinzani. Leo hii askari na mwananchi wamekuwa mahadui. Vifo vya ajabu vinavyotokea Tanzania vinatia hasira sana. SGR na Flyover hazitusaidi chochote kama sisi wananchi hatuna furaha
Resource number moja ya nchi yoyote yenye maendeleo duniani ni watu. Uhai na umoja wa watu lazima ueshimiwe. Man was born to be free and independent.
Leo rahisi anasema mbele za watu bila haibu eti wafungwa wajilishe. Hivi mtu aliyefungwa anajilishaje bila kufanya kazi? Swali nije magereza yote yana mashamba ya kulima?? Hatambui kuwa mfungwa bado yuko na haki zote zakuishi kama binadamu mwingine. Some times once you are in TZ you can feel better dead than alive. Kutokana nakutokujali uhai na uhuru wa watu.
Kwenye wimbo wataifa hakuna sehemu utasikia SGR au Flyover kama msingi wa maendeleo bali ni Umoja na Amani.

Ningeomba Magufuli abadili mwenendo wake wajinsi anavyotawala nchi kimabavu. The only battle all leaders have lost is the battle of trying to change the human mind. Kitu chapekee ambacho binadamu tuliumbwa nacho nikuwa sote tuna mawazo tofauti na mwingine. Hatukuzaliwa kama robots. So we need to disagree so as to agree.

Leo hii Raisi anawambia wananchi wake masikini eti atawafanya matajiri waishi kama shetani, alafu wanampigia makofi. Hivi tajiri nikifirisika wewe masikini utakula wapi??
Kikwete alifanya kosa kubwa kwa huyu jamaa.

Hebu...huyu kweli ni Mulisaaa ameandika hili?
 
Raisi alisema tuishi kama mashetan sema dunia haituelew tu
 
Hii list wala sio ya kuitilia maanani sana kutokana na maswali yaliyouluzwa na watu walio ulizwa, wengi ni wakimbizi. Watu 1,000 hawawizi kuwa na mawazo ya watu million 50? Unaweza kuamini kama Somalia na Iraq zimewapita Kenya mbali sana kwa furaha ya maisha?
 
which test was used to know a population of over 50 million is sad?

If u had bothered to click that link you wouldnt have had to ask this. How are are pollsters for example able to assess quite accurately the popularity of candidates in a forthcoming elections?
The general mood in a country regarding any issue can be assessed in the similar manner.
 
Tatizo sio vitu ulivyo orozesha. Tatizo TZ ni Uhuru. Kwa sasa hatuna tofauti na Rwanda au Burundi. Tunaishi kwa wasiwasi. Tanzania ya Magu na JK kwenye swala la uhuru nitofauti sana japo kwenye maendeleo Magu nampa tiki. Watanzania hawana furaha. Kila kona mtu kanuna
Hakuna maendeleo bila Uhuru

Sasa wakoloni tuliwafukuza wa nn?
 
Okay. Kwa hivo wengi wenu hamfurahishwi kabsaa na hali ilivyo nchini kisiasa.
Siasa ina mambo mengi ndani yake, kusema tu generally kwamba hatufurahishwi na hali ilivyo kisiasa sio sahihi. Kuna mambo kisiasa yako sawa na mengine yanahitaji maboresho. Suala la uhuru kwa mapana yake linahitaji lifanyiwe marekebisho ASAP.

Upande wa maendeleo namkubali sana Magu na nampa tick kubwa.
 
Kwanza ile sauti tu ya mkulu inatosha kuwaondolea furaha wananchi wote

Sauti mbaya kabisa kuwahi kutokea...

You want a romantic tone.
Ahaaa haaa haaa

Sisi kina mura tunasemaga, wee mama rhobhi ebu tenganisha mamiguu nirenge (in mura voice).. ahaaa haaa haaa
Hatunaga sweet voice popote pale.

But all in all, we WANTED such a guy MAANA nchi uliza, kila kukicha watu wanapiga madili tu, halafu Mimi hata buku nilikuwa sipati wakati wengine wanapiga hela ya MAANA. Tuvumilie tu, MAANA hata awamu iliyopita kelele zilikuwa nyingi SANA eti serikali ilikuwa LEGELEGE. Na watu wakaenda mbali ZAIDI kwamba JESHI LISHIKE HATAMU YA UONGOZI. Lkn tunashuku hilo la JESHI halikutokea, amekuja kiongozi wa kiraia ambaye anayafanyia KAZI kikamili yale yoote ambayo yalilalamikiwa sana na waTanzania wengi. Kinachonishangaza, ni pale ninapoona watu wakilalamika na kusahau yale yoote yaliyopita. SASA sijajua, ni wale waliokuwa wakinufaika na mfumo uliopita ndiyo wanaolalama, au ni ile kasumba ya binadamu "hakuna jema". MAANA lazima tukubali kuwa binadamu ni kiumbe wa ajabu SANA, na hata ukisoma kwenye vitabu, vinasema kuna kipindi hata aliyewaumba aliwahi kusema hivi niliwaumba hawa kwa sababu gani? Pengine alijuta kutokana na matendo wanayofanya. Unawapa kila kitu lkn bado hawaridhiki. Wanalalamika tu.
Tumuache tu RAIS afanye KAZI, MAANA huo uhuru ambayo watu wanausema tumekuwa nao kwa miongo kama mitatu hivi, lkn bado haikutusaidia, bado nchi ni masikini kwa uzembe na kutowajibika na rushwa na wizi vyote hivyo vikifanyika chini ya KIVULI CHA UHURU.
RAIS ANAkuwa mkali hivyo kwa sababu anataarifa kamili na usahihi wa kiwango kikubwa watoto jinsi nchi hii ilivyokuwa inaliwa na baadhi ya wenzetu kwa kushirikiana na wageni. Nchi ilikuwa shamba la bibi, watu wanachukuwa bila kufanywa lolote. SASA bibi kapata mjukuu mwenye nia njema ya kulinda mali. Tumuunge mkono na kumtia moyo azidazidishe hizi jitihada za KUJENGA uchumi na kulinda raslimali.
Hizo tafiti zisiwatie kiwewe, MAANA uhalisia wake unatia mashaka, mfano NCHI INAONGOZA KWA FURAHA DUNIANI, HALAFU KWA UPANDE MWINGINE IKO JUU KATIKA ORODHA YA NCHI AMBAZO RAIA WAKE WANAJIUA DUNIANI. MIMI BINAFSI SIJAELEWA. Nilitegemea wasio na furaha ndiyo waongoje kujiua na WENYE furaha wasiwe na sababu ya kujiua MAANA wana amani ya sura, roho, nafasi na AKILI. Hivyo hawana sababu ya kujiua.
Lingine ni vita ya uchumi, tusishangae kupata sifa mbaya hasa toka kwa mabepari. Na hilo halishangazi, MAANA hata Nelson Mandera aliwahi kuwa kwenye ORODHA YA MAGAIDI ya Marekani. Unaweza ukashangaa kwamba hivi naye Mandera alikuwa akiua watu!!? Jibu ni la, kwa sababu alikuwa akipinga sera za ubaguzi wa rangi wa makaburu. Hivyo jambo hilo liliwaudhi mabepari na ndiyo maana wakamwita Mandera gaidi. Ni majuzi tu rais wa Marekani aliyepita Obama akalitoa jina hilo kwenye ORODHA YA ugaidi na kusema ni aibu na dunia haitatuelewa kuwa na jina Mandera kama gaidi. Kwa hiyo maadam KUNA dalili za wazi za vita ya uchumi dhidi ya mabepari tutegemee mengi sana ya kutuvunja moyo na hata kutuchafua.

CC: mulisaaa
 
How wonderful is this world. The most happiest nation is number 27 in a
Crude Suicide Rate by Country 2018. While one of the saddest nation in the crude suicide list is number 107.
Guys give me the interpretation of these two research reports.
Hatunywi sumu hatujinyongi, CCM mbele kwa mbele. Haka kawimbo ndicho kanachosaidia kupunguza suicide rate...
 
400px-World_map_of_countries_by_World_Happiness_Report_score_(2017).svg.png


Finland 'world's happiest place' in 2018
no, we're fine, we're fine
 
Back
Top Bottom