Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema kweli we are. Magufuli pamoja nakuleta maendeleo anaendesha nchi kibabe sana. Watanzania tumejaliwa kupendana
Mtanzania ni mtu mkarimu. Inapotokea mtu(serikal) ikaanza kujenga chuki kati yetu inakuwa inakera sana. Mimi huwa ni CCM lakini sioni sababu yakuanza kubaguana na vyama vya upinzani. Leo hii askari na mwananchi wamekuwa mahadui. Vifo vya ajabu vinavyotokea Tanzania vinatia hasira sana. SGR na Flyover hazitusaidi chochote kama sisi wananchi hatuna furaha
Resource number moja ya nchi yoyote yenye maendeleo duniani ni watu. Uhai na umoja wa watu lazima ueshimiwe. Man was born to be free and independent.
Leo rahisi anasema mbele za watu bila haibu eti wafungwa wajilishe. Hivi mtu aliyefungwa anajilishaje bila kufanya kazi? Swali nije magereza yote yana mashamba ya kulima?? Hatambui kuwa mfungwa bado yuko na haki zote zakuishi kama binadamu mwingine. Some times once you are in TZ you can feel better dead than alive. Kutokana nakutokujali uhai na uhuru wa watu.
Kwenye wimbo wataifa hakuna sehemu utasikia SGR au Flyover kama msingi wa maendeleo bali ni Umoja na Amani.
Ningeomba Magufuli abadili mwenendo wake wajinsi anavyotawala nchi kimabavu. The only battle all leaders have lost is the battle of trying to change the human mind. Kitu chapekee ambacho binadamu tuliumbwa nacho nikuwa sote tuna mawazo tofauti na mwingine. Hatukuzaliwa kama robots. So we need to disagree so as to agree.
Leo hii Raisi anawambia wananchi wake masikini eti atawafanya matajiri waishi kama shetani, alafu wanampigia makofi. Hivi tajiri nikifirisika wewe masikini utakula wapi??
Kikwete alifanya kosa kubwa kwa huyu jamaa.
Yer ni mimi. Mimi husema ukweli penye ukweliHebu...huyu kweli ni Mulisaaa ameandika hili?
Okay. Kwa hivo wengi wenu hamfurahishwi kabsaa na hali ilivyo nchini kisiasa.Yer ni mimi. Mimi husema ukweli penye ukweli
which test was used to know a population of over 50 million is sad?
Hakuna maendeleo bila UhuruTatizo sio vitu ulivyo orozesha. Tatizo TZ ni Uhuru. Kwa sasa hatuna tofauti na Rwanda au Burundi. Tunaishi kwa wasiwasi. Tanzania ya Magu na JK kwenye swala la uhuru nitofauti sana japo kwenye maendeleo Magu nampa tiki. Watanzania hawana furaha. Kila kona mtu kanuna
Siasa ina mambo mengi ndani yake, kusema tu generally kwamba hatufurahishwi na hali ilivyo kisiasa sio sahihi. Kuna mambo kisiasa yako sawa na mengine yanahitaji maboresho. Suala la uhuru kwa mapana yake linahitaji lifanyiwe marekebisho ASAP.Okay. Kwa hivo wengi wenu hamfurahishwi kabsaa na hali ilivyo nchini kisiasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tz kuna washabiki wengi sana wa arsenal!
pressure kila siku
Hahaha 😀 Aisee! Unamaniisha akiongea kiswahili au? Zile l na r zinavomkanganya huwa zinamtoa kiuhuni uhuni, kiaina.Kwanza ile sauti tu ya mkulu inatosha kuwaondolea furaha wananchi wote
Sauti mbaya kabisa kuwahi kutokea...
Kwanza ile sauti tu ya mkulu inatosha kuwaondolea furaha wananchi wote
Sauti mbaya kabisa kuwahi kutokea...
Hatunywi sumu hatujinyongi, CCM mbele kwa mbele. Haka kawimbo ndicho kanachosaidia kupunguza suicide rate...How wonderful is this world. The most happiest nation is number 27 in a
Crude Suicide Rate by Country 2018. While one of the saddest nation in the crude suicide list is number 107.
Guys give me the interpretation of these two research reports.
no, we're fine, we're fine
Hatunywi sumu hatujinyongi, CCM mbele kwa mbele. Haka kawimbo ndicho kanachosaidia kupunguza suicide rate...
HahahahhSisonje ni stress tosha.