Tanzania's bus terminal is as Kenya's Jomo Kenyatta lnternational Airport

Tanzania's bus terminal is as Kenya's Jomo Kenyatta lnternational Airport

Robert Alai anasema ukweli, omba omba wenu wamejaa Kila Kona ya Kenya. Waafrika wengine wakitorokea Ulaya wenu wanatorokea Kenya(Ulaya ya Watanzania).

Hio Dodoma Station bado haitoshi wakulima Market yetu. Mnajaribu mtafika tu!
View attachment 1496430
Hatuna moja tu zipo zaid ya 20 tz nzima mpaka kufikia 2022 zitakuwa zimeisha zote halafu kwenye masoko tunayo mengi sana tena ni za hali ya juu kabisa hapa east africa hazipo labda mtatufananisha na south Africa or Egypt
 
Mr What,

Hujafika Nairobi ndugu. Jomo kenyata Airport,sio mchezo,hata hii airport yetu,tunayojivunia terminal three,haingii kwa Kenya. Jomo Kenyata Airport, ni kubwa, Nzuri, Mara 10 ya hii ya kwetu.
Ww unaongea nn mbona km umepigwa risas ya kalio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]u
Huo ujinga wako weka[emoji117][emoji1005] hakuna airport km terminal three EA nzima...liko wazi kabisa ilo....
 
Kitu wa kunya wanaweza pigia kelel hapa ni iyo Paper Giiidiiipiiii full stop the rest is rubbish
 
Ww unaongea nn mbona km umepigwa risas ya kalio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]u
Huo ujinga wako weka[emoji117][emoji1005] hakuna airport km terminal three EA nzima...liko wazi kabisa ilo....
We unaongelea terminal na watu wanaongelea airport
 
You are wrong cause it should be the opposite. More Tanzanians are detained in Kenya as compared to Kenyans being detained in Tanzania.
Are Tanzania thieves and robbers like Kenyans, why should they be detained. Kenyans are the ones who well known for those behaviors
 
Mr What,

Hujafika Nairobi ndugu. Jomo kenyata Airport,sio mchezo,hata hii airport yetu,tunayojivunia terminal three,haingii kwa Kenya. Jomo Kenyata Airport, ni kubwa, Nzuri, Mara 10 ya hii ya kwetu.
Wabongo si hua mko hivyo siku zote..mTanzania ni mwepesi sana kudharau cha kwake na kukishusha na kusifia cha nje.
 
That's why we have a $100b vs Tanzagiza's $63b GDP...source Ni World bank.[emoji6]
Thats why your debts is 70% and your the only country in Africa receives food donations and still your netizens die from hunger yearly, source WB:
 
Ziko ngapi zinazofanya kazi hapo uwanjani... Coz most of planes hazifit kwenye hizo old monument zenu..so mnajikuta mnapuyanga Uwanja mzima kufuata ndege zilipopaki..
IMG_20200118_164550.jpg
IMG_20200118_164556.jpg
IMG_20200118_164550.jpg
IMG_20200118_164556.jpg
IMG_20200118_164551.jpg
IMG_20200118_164600.jpg
IMG_20200118_164556.jpg
IMG_20200118_164551.jpg
IMG_20200118_164600.jpg
IMG_20200118_164628.jpg
IMG_20200118_164550.jpg
 
Why are you not asking for evidence that you are the only country in Africa that receives food donations and your people die of hunger yearly?
 
Wacha kupotosha hii si Mbezi Luis bus station!

Kaka hapa ni wapi sasa??? Jitahidi kuwa mzalendo mimi ni chadema tena damu kabisa lakini ukifika wakati wa utaifa tusimame kama taifa sio ccm au chadema
 
Back
Top Bottom