Tanzania's bus terminal is as Kenya's Jomo Kenyatta lnternational Airport

Hatuna moja tu zipo zaid ya 20 tz nzima mpaka kufikia 2022 zitakuwa zimeisha zote halafu kwenye masoko tunayo mengi sana tena ni za hali ya juu kabisa hapa east africa hazipo labda mtatufananisha na south Africa or Egypt
 
Mr What,

Hujafika Nairobi ndugu. Jomo kenyata Airport,sio mchezo,hata hii airport yetu,tunayojivunia terminal three,haingii kwa Kenya. Jomo Kenyata Airport, ni kubwa, Nzuri, Mara 10 ya hii ya kwetu.
Ww unaongea nn mbona km umepigwa risas ya kalio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]u
Huo ujinga wako weka[emoji117][emoji1005] hakuna airport km terminal three EA nzima...liko wazi kabisa ilo....
 
Kitu wa kunya wanaweza pigia kelel hapa ni iyo Paper Giiidiiipiiii full stop the rest is rubbish
 
Ww unaongea nn mbona km umepigwa risas ya kalio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]u
Huo ujinga wako weka[emoji117][emoji1005] hakuna airport km terminal three EA nzima...liko wazi kabisa ilo....
We unaongelea terminal na watu wanaongelea airport
 
You are wrong cause it should be the opposite. More Tanzanians are detained in Kenya as compared to Kenyans being detained in Tanzania.
Are Tanzania thieves and robbers like Kenyans, why should they be detained. Kenyans are the ones who well known for those behaviors
 
Magaidi wa Tanzania wamejaa jela zetu, omba omba wenu wamejaa Kila Kona ya Kenya hata kule Lodwar, Turkana...
Kenya main exports to its neighbours are thieves, terrorists and robbers.
 
Mr What,

Hujafika Nairobi ndugu. Jomo kenyata Airport,sio mchezo,hata hii airport yetu,tunayojivunia terminal three,haingii kwa Kenya. Jomo Kenyata Airport, ni kubwa, Nzuri, Mara 10 ya hii ya kwetu.
Wabongo si hua mko hivyo siku zote..mTanzania ni mwepesi sana kudharau cha kwake na kukishusha na kusifia cha nje.
 
That's why we have a $100b vs Tanzagiza's $63b GDP...source Ni World bank.[emoji6]
Thats why your debts is 70% and your the only country in Africa receives food donations and still your netizens die from hunger yearly, source WB:
 
Why are you not asking for evidence that you are the only country in Africa that receives food donations and your people die of hunger yearly?
 
Wacha kupotosha hii si Mbezi Luis bus station!

Kaka hapa ni wapi sasa??? Jitahidi kuwa mzalendo mimi ni chadema tena damu kabisa lakini ukifika wakati wa utaifa tusimame kama taifa sio ccm au chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…