kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
Wivu utakuua.an nonexistent railway...tanzanians are idiots to say the least
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu utakuua.an nonexistent railway...tanzanians are idiots to say the least
wapi hiyo mita moja ya reli idiot!Always Kenyans are jealousy over Tanzanians development povu linawatoka tu hata tukitengeneza mita mbili za reli inakuhusu nini wewe mtu wa Kenya shame on you
Subiri iishe ndo uongee. Nyie reli yenu wanasiasa walipitishia hela nyingi mno. Ndo maana construction cost imeenda juu sana. Walikuwa wanatafuta pesa za uchaguzi.an nonexistent railway...tanzanians are idiots to say the least
Duh, kazi ipo! Umerukia tu comment ya jamaa bila kuangalia, kusoma na kuelewa msingi wa maelezo.Usd 4.05/km ? Kilam unamatatizo wewe. Hii dola 4.05 ni sawa na shilling ngapi. Hata elfu 10 haifiki ndo utengeneze kilometre ya SGR mmmmh
sasa hata tukitengeneza reli ambayo sio standard inakuhusu nini nyie ndo wajinga ambao mmeshindwa hata kupambana na al- shabab,wapi hiyo mita moja ya reli idiot!
Usd 4.05m/km soma vizuri au umeacha miwani chumbaniUsd 4.05/km ? Kilam unamatatizo wewe. Hii dola 4.05 ni sawa na shilling ngapi. Hata elfu 10 haifiki ndo utengeneze kilometre ya SGR mmmmh
Beware of cheap rail projects
Huyu ni mpuuzi tu. Hana mantiki yoyote. Nashangaa credible tabloid like newtimes to entertain such a silly news.
Bado unaendeleza makosa.Makosa ya kiuandishi, ni US$ 4.05m/km.
Ungeandika kwa kiswahili mkuu.This is absolute jealous. Haaaaa jealousy people never win. This is best negotiation so far. Let's continue to minimize cost as much as possible. Finally we will conclude about quality of railway. If they do blunder we won't accept that railway. Remember when he minister of infrastructure he command one of Japanese company to repeat construction of some parts of kilwa due to poor quality of road
Mwandishi atakuwa Mkikuyu huyo kapeleka upuuzi wake Rwanda.