Tanzania's China-backed $10bn port plan stalls

We ni mtu usiejitambua tuu! Airport ina thamani sawa na Bandari?
 
Shida ilishasainiwa, Sasa implementation itafanyika tu SiSiM ilishatuingiza chaka. Mkataba ni mkataba ukishawekwa sahihi. Watasubiri Magufuli atoke madarakani au watakwenda mahakamani hapo ndio panaogopesha anyway big up awamu hii
Mikataba ilisainiwa lakini no implemented. Hawana uwezo wa kwenda mahakamani labda tuu wasubirie Magufuli amalize mda wake. Nafikiri wameshachemka tayari
 
Kwa magufuli Hawezi kuchukua hata shilling Mia moja Kati ya hizo hela za uchaguzi. Hiyo mpaka Magufuli amalize mda wake akapumzike. Wanamshinikiza akimaliza kumi arudi akapumzike ili wauze bandari ya bagamoyo kwa karanga za kuonjeshwa
Sasa hivi wamebana.

Ikifika wakati wanahitaji fedha za UCHAGUZI watapanua na mradi unaweza kujengwa kwa terms mbaya kuliko za sasa hivi.

[emoji23]
 
Kawaulize DR Congo Mchina alichowafanyia. Alisainisha mikataba na kupewa migodi kwa ahadi ya kuwajengea barabara na mashule mwisho wa siku hajafanya Chochote zaidi ya kuwaibia tuu.
 
Wajinga Sana wachina Bora tuwe kama Zimbabwe. Ila Sisi tuna matatizo na mchina Sio mzungu au Muamerika . Kwasasa Mchina Hana uwezo wa kutuharibia uchumi labda angekuwa bwana Trump. Trump hatuna shida nae
 
Kawaulize DR Congo Mchina alichowafanyia. Alisainisha mikataba na kupewa migodi kwa ahadi ya kuwajengea barabara na mashule mwisho wa siku hajafanya Chochote zaidi ya kuwaibia tuu.

Sisi kwenye bandari hatuweki dhamana yoyote zaidi ya eneo la bandari na la kujenga hiyo Ecomic zones, tutofautishe aina za mikataba
 
Sisi kwenye bandari hatuweki dhamana yoyote zaidi ya eneo la bandari na la kujenga hiyo Ecomic zones, tutofautishe aina za mikataba
Mchina amesaibia nchi nyingi kwa mikataba ya staili hiyo. China's dept trap . Alichowafanyia Congo kinafanana na hiki alichotaka kutufanyia Sisi huku kwetu. Kuna nchi nyingi zinalia na mikataba mibovu waliyosainiana na China
 
Sisi kwenye bandari hatuweki dhamana yoyote zaidi ya eneo la bandari na la kujenga hiyo Ecomic zones, tutofautishe aina za mikataba
Yaani wewe ni rahisi sana kutapeliwa.. Na kama ni mwanaume kuwa makini.. Hivi una ardhi yako anakuja tajiri anakwambia nitakujengea frame za biashara kwa pesa zangu na nitasimamia biashara mimi, wewe uta check maswala ya kodi tuu na familia yako watapata kazi na ni mkataba wa miaka 100++ we unatakuwa na akili kweli ukikubali..
 
Mi pia naunga mkono maamuzi ya hii serikali katika suala hili la bagamoyo kwa asilimia kadhaa tu, maana inakuwa vigumu kuamini kuwa hakukuwa na faida yoyote tutakayoipata kama taifa hasa ukizingatia kuwa hii ilikuwa iwe DFI kubwa sana, nyenye kuleta significant trickle down effect kwenye uchumi wetu. Natamani tungeacha kulewa mapambio ya uzalendo na tutafakari kwa kina namna ya kuufanya mradi huu kuwa na tija kwa taifa letu. port!
Hapa naunga mkono serikali ya awamu ya tano chini ya Jiwe.
 
Haya masharti ya
1. Hakuna kuendeleza bandari yoyote pwani ya bahari ya Hindi
2. Kodi kulipa wanavyoona wawekezaji
3. Hakuna kulipa au kulipa waoonavyo VAT
3. Mengine
Wametudanganya hayapo au ume overlook, au wewe ni aina ya chief Mangungo.
Faida iko wapi na mizigo toka china kama hakuna kodi
Maana yake eneo hilo litakuwa eneo la china kufanyia biashara zake tunanufaika nini?
 
Shida ilishasainiwa, Sasa implementation itafanyika tu SiSiM ilishatuingiza chaka. Mkataba ni mkataba ukishawekwa sahihi. Watasubiri Magufuli atoke madarakani au watakwenda mahakamani hapo ndio panaogopesha anyway big up awamu hii

sio tatizo kusaini ,kumesha fanyika ujenzi,kuna hata shikingi mia imesha wekwa wapo bagomoyo.basi hakuna la kulalamika
 
Ilishasainiwa lakini yale makubaliano ya awali hayakuwa final ndo maana mkataba umepitiwa upya na uozo kugundulika. Binafsi natamani kuona details za mkataba in bullet points nijue tulikuwa tunapigwa kwa kiasi gani kwa mkataba wa awali au tulikuwa tupate faida gani maana naamini kuwa kulikuwa na kitu kizuri tu tunapata labda ishu iwe ni kiasi gani?
Shida ilishasainiwa, Sasa implementation itafanyika tu SiSiM ilishatuingiza chaka. Mkataba ni mkataba ukishawekwa sahihi. Watasubiri Magufuli atoke madarakani au watakwenda mahakamani hapo ndio panaogopesha anyway big up awamu hii
 
You have a point lakini majadiliano bado hayajafikia tamati nafikiri kuna kitu hatujaambiwa kuhusu faida tutakazopata kama watanzania. Ngoja tuone wachina wakirudi watarudi na package gani?
 
God forbid
 
Hakuna hasara yoyote iliyoainishwa. Hii itafanyika lakini itakuwa kama SGR.
 
Yote ni sawa lakinihii mikataba haikufikishwa bungeni!
Mkataba uliingiwa na serikali ya chama gani? Wabunge wengi waliopitisha hiyo mikataba ni wa chama gani ? Leo mnajitoa ufahamu mmesahau wakati mnagonga meza .
 
Kila siku CCM inaangamiza taifa.alipoingia Mkapa alishtumiwa Mwinyi kuua uchumi.pia Jakaya dhidi Mkapa.na leo Wana CCM Wanaongelea Jakaya kuangamiza taifa.
TATIZO HAPA CCM na KATIBA.katba ya Warioba ndio solution ambayo majizi ya kijani hawaitaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…