Hahaha. Eh Watanzania mna vituko. Hata hamjasoma hio report ya Kenya na mshaanza kupiga tarumbeta. Hivi mbona hamjui kwamba the term 'quarter' inatumika kumaanisha muda wa miezi mitatu kwa mwaka. Hii ni kumaanisha 3rd quarter ya 2017 ni muda wa miezi mitatu yaani: July, August na September. Hio ni data ya Kenya. However,data ya Tanzania, kichwa chake tu kinasema kuwa hio data ni ya miezi yote kuanzia January hadi september. Correct me if I am wrong. Prove kwamba hio data ya T.Z ni ya 3rd quarter na sio ya miezi tisa