Nima_
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 243
- 222
I wish Feza gets out this coming Sunday. Hana anachofanya zaidi ya kulala na Oneal all the time. Afanye aondoke tu na yeye. As for Nando, katuaibisha mno kama nchi. Kweli wazazi leleeni watoto wenu ipasavyo maana Nando ni mfano wa troubled kids wengi walioko ktk jamii. Ukiona mwanao wa mwaka mmoja anaua sisimizi mkanye na muombee, akikua ataua mende, then panya, then paka, then mbwa, then ataanza dhalilisha watu esp wa jinsia tofauti, baada ya hapo watch out....:he will kill human being! Na akishaua mmoja, he won't stop hadi astopishwe kwa kuuwawa. Mamake Nando ni vema akamchukua mtoto wake akafanyiwe therapy seriously....else.....
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums