Tanzania's Nando has been Disqualified from the Big Brother House

am happy kwa statement hii

alikuwa a big threat kwa Naija, ametumia mbinu chafu kumtoa. Mwaka jana hawakushinda, na kama ujuavyo wanaija wanavyochuka kushindwa bba maana wao ndio waandaaji, Abiola.

Na nando alikuwa kajipanga mno, alikuwa na amekubaliana na watu kadhaa hawa-nominatiani, ambayo ilikuwa inamfanya songe bila nomination.

He was real playing his game.

mi ni shabiki mkubwa wa washiriki wetu nando na feza,nando alinikera ile ishu ya selly ila nikamsamehe coz selly nayeye alikuwa mjinga. ila kwa hili la ugomvi kwa kweli nando alizidisha,asingefanya vile atleast angeishia kwenye maneno kuliko kurusha mkono! nadhani big brother amesukumwa na maoni ya afrika esp west afrika coz wengi wao wako active sana na bba kuliko sisi.

feza kwa kweli hata mimi naona ameshachemsha,hii wiki haponi.... tabia ya kusema wenzie vibaya na kuwachukia washiriki wenzie wa kike imemponza kwa afrika
 
Coz they knew Nando was a threat, period.
Vinginevyo angempa strike 1

ukweli mtupu mkuu..hat a Mimi nimegundua hii show inapangwa aisee...

sidhani kama kweli inapangwa....ila west afrika wako active sana na hii show,wanapiga kura sana na wanacoment sana kwenye mitandao ya bba labda ndo mana inaonekana kama inapangwa.

na hii ishu ya nando wameivalia njuga coz waliohusika ni washiriki wao.
 
Coz they knew Nando was a threat, period.
Vinginevyo angempa strike 1

nakubali nando alikuwa threat sana tu. ila kushindwa kuzuia hasira kumemponza.trust me asingekuwa disqualified jana leo

housemates wangemnominate kwa kusababisha division in the house,coz majority group hawajapendezwa nalo,na naamini afrika wasingemsave kabisa.....
 
inabid watu waangaliwe tabia na maadili .shindano hili halina maadili ya kitanzania:wave:
 
sidhani kama kweli inapangwa....ila west afrika wako active sana na hii show,wanapiga kura sana na wanacoment sana kwenye mitandao ya bba labda ndo mana inaonekana kama inapangwa.

na hii ishu ya nando wameivalia njuga coz waliohusika ni washiriki wao.

Nando alikuwa na strike tayari, pili ishu ya elikeem ni strike ya pili, strike ya tatu ni kulala na mkasi na kunoa kisu. Msitetee kitu, pale wala si maoni ya Africa, mtu alishaatempt kujiua, mtu aliyekuwa drug addict kweli mnasapoti kutokutolewa??hata hivyo dogo hakuwa that famous coz the last time amekuwa up for eviction alikuwa na kura 3 tu wakati pokello alikuwa na 5, angelo 5 na mwingine 4, ndo akafuatia yeye 3. Je huu ndio ufamous??hata annabel amekuwa na kura hzo hzo 3 tena za east Africa. Nando alipanda sana kwenye nomination yake ya kwanza tu kabla watu hawajamjua tabia yake.
 
nakubali nando alikuwa threat sana tu. ila kushindwa kuzuia hasira kumemponza.trust me asingekuwa disqualified jana leo

housemates wangemnominate kwa kusababisha division in the house,coz majority group hawajapendezwa nalo,na naamini afrika wasingemsave kabisa.....

3 country votes alikuwa threat??
 
Nando alikuwa na strike tayari, pili ishu ya elikeem ni strike ya pili, strike ya tatu ni kulala na mkasi na kunoa kisu. Msitetee kitu, pale wala si maoni ya Africa, mtu alishaatempt kujiua, mtu aliyekuwa drug addict kweli mnasapoti kutokutolewa??hata hivyo dogo hakuwa that famous coz the last time amekuwa up for eviction alikuwa na kura 3 tu wakati pokello alikuwa na 5, angelo 5 na mwingine 4, ndo akafuatia yeye 3. Je huu ndio ufamous??hata annabel amekuwa na kura hzo hzo 3 tena za east Africa. Nando alipanda sana kwenye nomination yake ya kwanza tu kabla watu hawajamjua tabia yake.

nikweli mwanzo alikuwa maaruf sana,alishuka baada ya kum-mistreat selly.nilimpenda kabla ya hapo na ameniudhi kwa hili tukio la juzi simtetei,ila tuseme ukweli alikuwa competition to other housemate so angezuia hasira angeweza fika top five,coz tukio la selly watu walishaanza kusahau
 
Unajua alikuwa ni team oneza? hii ilishamchafua sana kiasi ambacho angeishia kwenye 3 country votes same way to annabel. Alishaondoka so ni ngumu kuprove. Alishuka umaarufu na asingeweza kuurudisha coz alijiingiza kwenye team umbea, chuki na majungu Onezza. Hata Fezza alipendwa ila kwa jungu, chuki na kugawa watu ki zone kimewafanya wawe target siku wakisimamishwa tu.
 
3 country votes alikuwa threat??

alipata 3votes week aliyoharibu kwa selly.alikuwa ameanza kujirudi,watu walishaanza kusahau,alikuwa competent kwenye kila task inayotolewa so wenzie walimuona ni threat.angeweza fika top five tho asingeshinda coz kuna melvin na dilish wana fans wengi na wana tabia nzuri
 
Unajua alikuwa ni team oneza? hii ilishamchafua sana kiasi ambacho angeishia kwenye 3 country votes same way to annabel. Alishaondoka so ni ngumu kuprove. Alishuka umaarufu na asingeweza kuurudisha coz alijiingiza kwenye team umbea, chuki na majungu Onezza. Hata Fezza alipendwa ila kwa jungu, chuki na kugawa watu ki zone kimewafanya wawe target siku wakisimamishwa tu.

na leo feza amepata 5 nominations duh! kila housemate anatoa reason hiyo hiyo. dilish ameelezea vizuri kuwa feza initially was very focused,now she has changed alot ,all she is doing is to chill with his boyfriend,she is not the one they know.
 
Back
Top Bottom