Tanzania's Nando has been Disqualified from the Big Brother House

Tanzania's Nando has been Disqualified from the Big Brother House

am happy kwa statement hii

alikuwa a big threat kwa Naija, ametumia mbinu chafu kumtoa. Mwaka jana hawakushinda, na kama ujuavyo wanaija wanavyochuka kushindwa bba maana wao ndio waandaaji, Abiola.

Na nando alikuwa kajipanga mno, alikuwa na amekubaliana na watu kadhaa hawa-nominatiani, ambayo ilikuwa inamfanya songe bila nomination.

He was real playing his game.

kusema ukweli Nando alikuwa threat kwa yule mjinga wa kinaijeria'ametumia akili ya hali ya juu kummaliza
 
"a nigga like that deserve to die"
kwan alimfanya nn,?
waTZ hatukubali kuonewa kijinga thts the spirit
 
Yote haya ya Big Brother naona ni upuuzi mwingine wa kikoloni eti watu wanakusanywa kwa siku kadhaa nakufungiwa zizini wanaanza ngono dunia ikiwashuhudia wanaingia bafuni uchi wa mnyama na watu wenye akili zao wanahamashishwa eti kuwapigia kula waendelee kujianika uchi.
Hivi unyambilisi huu ni kwa faida ya nani watu tumebakia kuitwa watu kwa vile tuna miili lakini si watu tena ni mazombi.
 
Tabia ni tabia, duh tumemjua leo. hawa watu huwa hawawasukumi kuona kama ni wagomvi wa kutaka kuua, wanapeleka tu.

Ilaa akina baba mnaozaa nje mjue hii ndio matokeo wanenu wakikua, muache kuzaa nje ya ovyo.

Mie naomba tujiunge kukemea hii kitu ya wazee kuzaa nje esp na wasichana wadogo, wanalelewa wakikua hasira na akili inakuwa na mengi plus roho kuwauma.

namuonea huruma mama yake jamani, sijui atakuwaje Nancy wa LA. Pole msaidie mwanao kuona mabingwa wa kumsaidia akirudi huko marekani asap.

..... Mi nilidhani mtu kua mkorofi ni tabia yake binafsi na havihusiani kabisa na asili ya kuzaliwa kwake. Maana kama watukutu na wakorofi wote ni matokeo ya akina baba kuzaa nje ya ndoa basi ipo kazi. Na kwa nini baba?! Kuna haja ya kufanya research na DNA za kutosha hapa, maana nikiangalia kwa haraka haraka matukio ya uhalifu, nashindwa kutoa hitimisho jepesi.
 
Big brother is full of shit. Mnaoangalia huwa mnajifunza nini.
 
Wazungu wajanja sana,wanaona kashapata gono lake na ngoma ndo wanamu evict,karibu Nando uungane na Taifa stars

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Big brother is full of shit. Mnaoangalia huwa mnajifunza nini.

Kujifunza jinsi binadamu tulivyo. Na hivyo ndivyo tulivyoweza kumjua Nando jinsi alivyo.

My take: malezi ya mtoto ndiyo yanakupa picha ya kuwa atakua mtu gani akiwa mtu mzima. Wazazi tujifunze kuwajengea watoto wetu misingi mizuri ya kujijali na kujali utu. Mtu kama Nando anaonekana hajui thamani ya maisha, kwake yeye kutoa uhai wa mtu ni kitendo anachoona ni cha kawaida sana. Si yeye, ni makuzi, amekua kwa kujihami awapo popote hata kwenye nyumba za ibada. Maisha yake yote hana usingizi wa kudumu analala huku akiwa na machale kichwani kuwa labda kuna mtu atakuja kumdhuru na ndio maana analala na silaha. So BBA yaweza kuwa upuuzi lakini kuna vitu vy kujifunza.
 
Kiko wapiiiiii?nauliza kiko wapiiii?? tulisema toka mwanzo tukaonekana haters....huu mwaka mmeingiza wala unga na wambea na wanafiki tu. Hahahahaha mtawatetea sana ila kuweni fair tu kwa nafsi zenu mwaka huu ni majanga. Kutoka marekani kilijiona ndio chenyewe kumbeee kinajiharibia mchezo. hata treatment yake kwa selly haikuwa fair, alionekana kama getto boy flani asiye na maadili. Mama una kazi usipofunza mwanao atafunzwa na ulimwengu. Ghana wanamsubiri akatize pande hizo.

Yes nimesema.
 
  • Thanks
Reactions: PSM
big brother has been painting Nando, Feza and oneil very negatively, ukiso,,a mtandao wake hasa mwandishi anayeitwa Bukelwa.

Hii show iko kama imepangwa, hata fake emerald hms wengine walideclare war na feza, nando and oneil hata kabla hawajaenda, eg Busi.
Afu kama hawatakiwi kuonana na outside world, why emeralds?

Na baada ya eviction ya leo chances za nando kufika mbali was high, EA support; ethiopia, and Botswana. Feza has already lost it, Nando ndio alikuwa anashine. Wiki hii team zote alizoziongoza zilishinda, kama director wa Movie, his team won and Jack Appiah kama judge alikomment he did well kuwa director na actor at the same time.

Kwenye airtel arena show also his team won over na wakawa awarded a special treat, he was such a leader kwenye task.

Nando alikuwa na strike 1, na ili mtu atoke alitakiwa apate strike 3, leo big kampa strike 2 at per. This show is so f'd up, it is planned to go to 9ja tena Melvin, upuuzi.

Nando tried his best!

ukweli mtupu mkuu..hat a Mimi nimegundua hii show inapangwa aisee...
 
Kama msela anaweza kusema hayo kwenye show basi hajisomi....
Mambo gani, watu wanakaa kukupigia kura afu unaleta ujinga, hela zilizowatoka na muda then unasababisha kujitoa mwenyewe,
Nappun norm...
 
Kiko wapiiiiii?nauliza kiko wapiiii?? tulisema toka mwanzo tukaonekana haters....huu mwaka mmeingiza wala unga na wambea na wanafiki tu. Hahahahaha mtawatetea sana ila kuweni fair tu kwa nafsi zenu mwaka huu ni majanga. Kutoka marekani kilijiona ndio chenyewe kumbeee kinajiharibia mchezo. hata treatment yake kwa selly haikuwa fair, alionekana kama getto boy flani asiye na maadili. Mama una kazi usipofunza mwanao atafunzwa na ulimwengu. Ghana wanamsubiri akatize pande hizo.

Yes nimesema.
BBA c ni reality show?kuishi maisha yako halisi na c kupretend?me cjaona tatizo kwake maana ameonyesha maisha yake halisi haswaaa!!!!
 
Watoke tu sioni wanachofanya cha maana zaidi ya uhuni na mambo yasiyofaa hasa kwa jamii yetu


July 28, 2013

.
After tonight's Evictions that saw Annabel and Sulu being given the boot, Big Brother then gathered all of the Housemates in the living room.

Today Big Brother reproached Nando for the fight that he had with Elikem on Friday. The heated face-off with Elikem saw the two fellas exchanging fiery words between them. Nando is the one that instigated the fight. Instigation and provocation is a violation of the Big Brother rules.

"Any Housemate who becomes physically violent will be removed from the House immediately. Violence can refer to self-inflicted violence, or violence towards another. Violence includes provocation, goading, bullying and victimisation," said Biggie.

This season Big Brother has imposed a Three Strike Rulu, which will be applicable to Housemates who commit serious infringements. For this fight Nando received his second Strike and Elikem was has served with his first Strike. Afterwards the Tanzanian was called into the Diary Room. He was given his third Strike for making threats against Elikem's life, saying: "I feel like stabbing him. A nigga like that deserves to die".

And he was also caught sleeping with scissors under his bed and this is not the first time that he has been caught with a weapon in the House. The troubled young fellow has had a dramatic nine weeks in The Chase. Last month he was served with a a Strike and a stern warning from Big Brother after he was found carrying a knife to the Channel O Party. The possession of weapons or intention to be violent in the House is another violation of the Big Brother rules.

After the Diary session Nando was told to immediately exit the House. Big Brother then gave a warning to the Housemates to conduct themselves as adults.

Big Brother | Dstv
 
BBA c ni reality show?kuishi maisha yako halisi na c kupretend?me cjaona tatizo kwake maana ameonyesha maisha yake halisi haswaaa!!!!

Maisha yake halisii ya kupigana!!!!!!!!

haya ubabe wake umeishia wapi sasa
 
"a nigga like that deserve to die"
kwan alimfanya nn,?
waTZ hatukubali kuonewa kijinga thts the spirit

filepicker_TpE3OGcYSG6OzWWojyV4_Bitch please.jpg
 
Back
Top Bottom