Tanzania's Nando has been Disqualified from the Big Brother House

Tanzania's Nando has been Disqualified from the Big Brother House

Hakuna mzigo mzito kama ujinga. yani watu wamepoteza pesa kumpigia kura huyu alaf anawalipa namna hii. kwanza hakuna faida ya huu mchezo kwa taifa.

upi una faida? Waganda wametubaka, tembo wenye faida katibu mkuu anawauza!
 
It seems u don't know how this game is played.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wewe ni mtakatifu huku mtaani?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Maisha yake halisii ya kupigana!!!!!!!!

haya ubabe wake umeishia wapi sasa

hakuamka tu na kupigana!!! bali alikorofishwa!! sasa ulitaka asionyeshe hasira zake na aishi kinafiki kama mnigeria melvin au yule demu dillish?ile ni reality show na NANDO ameionyesha kweli!!!!
 
hakuamka tu na kupigana!!! bali alikorofishwa!! sasa ulitaka asionyeshe hasira zake na aishi kinafiki kama mnigeria melvin au yule demu dillish?ile ni reality show na NANDO ameionyesha kweli!!!!

He should know how to control his emotions............

Kila mtu angekuwa akikorofishwa anapigana si ingekuwa BOXING house......

That is a house,you live with people of different behaviour&characters,the big question
is are you able to stand UP & let the hell out of you!!!!
 
Ila jamani tuwe wakweli. Baadhi ya hivi vipindi vina attract watu wa aina fulani. Angaliene hata reality show kama za kina Keeping Up With the Kardashians nk. Reality shows thrive on drama and controversy na ndio maana hata watu wanao pelekwa Big Brother ni watu wanaoweza kutoa drama kwa sababu ndicho watu wanacho taka kukiona. Ukimpeleka mtu pole asie na neno na mtu na mstaarabu kushinda kwake kutakua kugumu. Naweza nikawa nimekosea but personally nadhani kuna watu wa aina fulani hawawezi jihusisha na Big Brother hata watoe pesa kiasi gani na kuna watu wa aina fulani wangeenda Big Brother hata kama kungekua hamna pesa za kushindaniwa. Huo ndio ukweli...
 
Bado mtoto yule. tatizo Selection za watu wa kwenda Big brother Tz wanafanya kwa kujuana. inabidi wachukue wazawa wa hapahapa sio machotara
 
am happy kwa statement hii

alikuwa a big threat kwa Naija, ametumia mbinu chafu kumtoa. Mwaka jana hawakushinda, na kama ujuavyo wanaija wanavyochuka kushindwa bba maana wao ndio waandaaji, Abiola.

Na nando alikuwa kajipanga mno, alikuwa na amekubaliana na watu kadhaa hawa-nominatiani, ambayo ilikuwa inamfanya songe bila nomination.

He was real playing his game.

Samahani ndugu unaposema BBA inaandaliwa na naija una maana gani..???
 
Hii Tanzania sijui itakuja kushinda kwenye fani gani tena maana vijana woooote inaonekana ni unga tu asilimia kubwa...hilo litoto linatuletea utamadumi wa kuuwa ambao hatujauzoea.safi sana biggie japo umechelewa kutoa uamuzi.
 
nigeria ni moja ya nchi inayoongoza kwa kuchukua bba dollarz thats why anasema inaandaliwa na niger!

Ila to be more precise BBA ni Reality Series Show product ya Endemol a Dutch Media Company inayomiliki Series of reality shows world wide km Big Brother ( UK, America, etc., who want to be a millionaire, Deal or NO deal, na kwa Africa show zao maarufu ni Isidingo, Egoli, Seasons na BBA zote zinarushwa SABC (South Africa Broadcasting Corp.) so connection na naija ni kimchezo tu ila hakuna OWNERSHIP..!!!!!!"
 
thaks boy kwa kunisahihisha but niger huwa wanafanya vizur bba!!
 
nigeria ni moja ya nchi inayoongoza kwa kuchukua bba dollarz thats why anasema inaandaliwa na niger!

mkuu mbn unatuchanganya nigeria waandaaj kivp ?? C tunajua waandaaj ni south africa na nigeria ndyo wanaongoza kuchukua mara nyingi hilo tu
 
Uyu mtoto kaniudhi sana he had every potentials za kua mshindi what only he needed to do is to control himself.. KASHINDWA!

hakuna mkamilifu nando ameonyesha leality na hiyo ndio bba the chase tumsikilizie dada yetu fedha kessy!!!
 
mkuu mbn unatuchanganya nigeria waandaaj kivp ?? C tunajua waandaaj ni south africa na nigeria ndyo wanaongoza kuchukua mara nyingi hilo tu

nilikuwa namahanisha hivyo mkuu kwamba niger wanafanya vizuri bba lakini sa ni waandaaji tu kupitia endemol nahisi tulipishana maelezo kidogo!
 
Back
Top Bottom