Hakuna mzigo mzito kama ujinga. yani watu wamepoteza pesa kumpigia kura huyu alaf anawalipa namna hii. kwanza hakuna faida ya huu mchezo kwa taifa.
upi una faida? Waganda wametubaka, tembo wenye faida katibu mkuu anawauza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mzigo mzito kama ujinga. yani watu wamepoteza pesa kumpigia kura huyu alaf anawalipa namna hii. kwanza hakuna faida ya huu mchezo kwa taifa.
Maisha yake halisii ya kupigana!!!!!!!!
haya ubabe wake umeishia wapi sasa
hakuamka tu na kupigana!!! bali alikorofishwa!! sasa ulitaka asionyeshe hasira zake na aishi kinafiki kama mnigeria melvin au yule demu dillish?ile ni reality show na NANDO ameionyesha kweli!!!!
Big brother is full of shit. Mnaoangalia huwa mnajifunza nini.
am happy kwa statement hii
alikuwa a big threat kwa Naija, ametumia mbinu chafu kumtoa. Mwaka jana hawakushinda, na kama ujuavyo wanaija wanavyochuka kushindwa bba maana wao ndio waandaaji, Abiola.
Na nando alikuwa kajipanga mno, alikuwa na amekubaliana na watu kadhaa hawa-nominatiani, ambayo ilikuwa inamfanya songe bila nomination.
He was real playing his game.
Samahani ndugu unaposema BBA inaandaliwa na naija una maana gani..???
nigeria ni moja ya nchi inayoongoza kwa kuchukua bba dollarz thats why anasema inaandaliwa na niger!
Ila to be more precise BBA ni Reality Series Show product ya Endemol a Dutch Media Company inayomiliki Series of reality shows world wide km Big Brother ( UK, America, etc., who want to be a millionaire, Deal or NO deal, na kwa Africa show zao maarufu ni Isidingo, Egoli, Seasons na BBA zote zinarushwa SABC (South Africa Broadcasting Corp.) so connection na naija ni kimchezo tu ila hakuna OWNERSHIP..!!!!!!"
nigeria ni moja ya nchi inayoongoza kwa kuchukua bba dollarz thats why anasema inaandaliwa na niger!
thaks boy kwa kunisahihisha but niger huwa wanafanya vizur bba!!
Uyu mtoto kaniudhi sana he had every potentials za kua mshindi what only he needed to do is to control himself.. KASHINDWA!
hakuna mkamilifu nando ameonyesha leality na hiyo ndio bba the chase tumsikilizie dada yetu fedha kessy!!!
mkuu mbn unatuchanganya nigeria waandaaj kivp ?? C tunajua waandaaj ni south africa na nigeria ndyo wanaongoza kuchukua mara nyingi hilo tu